Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,831
Hata mm napendekeza mipango ni sahihi Kazi zitaenda ni muadilifu,ni msikifu,ababaiki back sakata la makontena la bashite alisimamia sheria,pili sio team kanda pendwa.Unadhani anaweza kukataliwa mkuu?
Haya majitu yaende jando kwanza
Dada mama D Ramli za Kigogo Hazijatimia? Ni Watu wajinga Tu wanaoweza kumwamini Kigogo, Mara January, Nchimbi, Mara Sjui Bashiru. Wale waleta twiti za Kigogo Hakuna Twiti Mpya Huko? [emoji2][emoji2][emoji2]Hutukupewa nafasi sababu mimi na wewe sio Mpango
Litakuwa wazi kwani VP siyo lazima awe mbunge na kama ataendelea kuwa mbunge, kuna moja litadorora na hasa la kuwakilisha jimbo lake bungeni.Mmmh HV umeuliza swali zuri Sana ukisoma masharti ya Jimbo kuwa wazi sidhan km kupanda cheo ipo ngj nikapitie katiba
Una akili sanaAnaondolewa Hazina kiakili sana
Tanzania tuliyoachiwa ni imara sana.Hata mim naiona dira.mi ni magufulian..so naiona mitazamo ya magu kwa mama huyu
Dr. Mpango ni mtu wa action zaidi, hasa akipewa uhuru wa kuact. Wana CCM wezi atawadhibiti tu, as long as Samia anampa baraka zake.Amepoa sana....kwa matendo ya wanaccm hawezi
Ukipewa utakataa...Nafasi ninayo ila sina chama kwahiyo sichukui kadi ili nipate nafasi
Uzi unakimbia balaa.
Walisoma,,, kwani Ulitaka wawejeKABUDI NA NDALICHAKO WALIKUWAJE MA PROFESOR?
Wataendana,ni "big brain".Sio mtu wa mihemuko!Mpango ni mpole mnoo!