Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mpaka sasa mweshimiwa Rais Mama Samia Suluhu hajaniangusha.

Naona hekima kubwa imetumika na sasa BOT itasafishwa vyema.
Mpango mshauri vyema Rais wetu mpendwa hasa ukitumia uzoefu wako mkubwa wa mambo ya uchumi
 
Haya majitu yaende jando kwanza
The Hate You Give - Copy.jpg
 
Mmmh HV umeuliza swali zuri Sana ukisoma masharti ya Jimbo kuwa wazi sidhan km kupanda cheo ipo ngj nikapitie katiba
Litakuwa wazi kwani VP siyo lazima awe mbunge na kama ataendelea kuwa mbunge, kuna moja litadorora na hasa la kuwakilisha jimbo lake bungeni.
 
Yawezakana akawa Kiongozi mzuri. Kama kulikuwa na shaka kwenye Uwaziri wake huenda ni kutokana na presha ya utawala uliopita.
 
Back
Top Bottom