Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwa NEC CCM kila jampo linawezekana, kuna wabunge 19 wa Ndugai hawana jimbo wala chama lakini wapo bungeni kama kawaLazima uchaguzi utafanyika. No way out. Makamu wa Rais hawezi kuwa Mbunge kwa wakati huo huo.
Duh!!Alikua ceremonial tu pale, alikua anatukanwa na meko hadi akapata presha akataka ajiuzulu wakamuonya.
Dotto safari iko palepale
Sawa mkuu! Ila Philip ni mwadilifu sana!! wacha wafanye kazi na mama!Ni lini tumewahi kuwa na V.P mkali?
Kigogo alisema atateuliwa kati ya leo au kesho, pia kigogo siyo msemaji wa serikali, anaweza kupewa taarifa ya kweli ama uongo.Kigogo anawadanganya anajua kila kitu na anamjua kila mtu nchi hii. Ana mpaka watu wa Usalama wa Ikulu teh teh teh teh
Hapa vipi, hakumuona Mpango teh teh teh
Wanao wanajua kila anayechukia madudu yao ni CHADEMA.Haimaanishi wale wote wasio ipenda ccm, basi ni wanachama wa vyama vya upinzani. Kuna kundi kubwa sana la Watanzania tunaichukia ccm kwa sababu tu ya madudu yake! Na siyo kwa sababu unayo ifikiria wewe.
Jimbo lipo waziLazima uchaguzi utafanyika. No way out. Makamu wa Rais hawezi kuwa Mbunge kwa wakati huo huo.
Kwani nani alikuwa anatamani au anataka hao uliowataja wawe?Mwenzako ameshinda, alichofanya ni kuhakikisha specific Bashiru na Kabudi hawawi.
CHADEMA ndio chanzo cha uchawi nchi hiiWanao wanajua kila anayechukia madudu yao ni CHADEMA.
Wabunge wake haoLeo nduga anafuata katiba ha ha kwa wale walio na katiba kwenye eneo alilolisoma hivyo vipengele alivyoviacha vinasemaje maana nahisi kuna moja litawagusa wale wabunge 19 ndiyo maana karuka kakimbilia E
Sawa mkuu, wacha tumupe muda. naamini atafanya vizuri!Mpole!
Ukali wa Magufuli haujakufundisha chochote?
Jimbo lipo wazi kea mujibu wakatibaSijui hapo katiba inasemaje?
Asije akawa kajitapa kuwa alimponya Corona ..... Rashid hatabiriki!!Kasemaje huyu tapeli wa dini za Kinaija?
Ndiyo maana majimbo ambayo yalikuwa chini ya CHADEMA muda mrefu yana maendeleo makubwa. Shame on youCHADEMA ndio chanzo cha uchawi nchi hii
Mimi nakula Meza moja na wakubwa zako. Wewe endelea kupiga kelele hapa JFKwahiyo wewe unakula meza moja na mbowe na lisu?
Si ni muokota makombo tu