Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo leo auTunamsubiri waziri wa fedha 😍😍😍😍
Atakuwa katibu Mkuu CCMHawana hamu
Hawa wapole huwa ni wakatili sana nyuma ya pazia, but Madame Pres Samia, Pres Mwinyi, VP Mpango na PM Majaliwa kama wapole kifikra.Kwa hiyo wamekutana wapole wawili [emoji848][emoji848]
Kigogo inner circle yake imemmsislidi..anacheka kile kicheko cha mtu akiaibika ...anakuwa ana analia hivi...Vipi mafollowers wa Kigogo, chanzo chenu kilisemaje?
Walitakiwa Kama 100 hivi alafu wote holaaaVipi mafollowers wa Kigogo, chanzo chenu kilisemaje?
Akishakaa rais na makamu wake 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Leo leo au
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpango yupi tena jamani?
Si tulikubaliana mama aweke safu mpya na team Msoga wawemo?
Hana sifa iyo, unataka wizara iwe ya familia Kama ilivyo Crdb???Namuona Kimei akipiga jaramba nafasi aliyokuwapo dk Mpango ya uaziri wa fedha na mipango itamfaa sana.
Kufa KufaanaMpango
Lakini tusisahau uadilifu wa Philip ni wa hali ya juu mnoo!! Mama hataki wapinga mapambio wa jiwe!!Seriuos..hajafit
We elewa hivohivo mkuu Siasa mbaya sana 😂 😂 😂still haimake sense!!ukisema dollar 62m..tunaongelea 100+ bn.
Tujipe muda kiasi mkuuLakini tusisahau uadilifu wa Philip ni wa hali ya juu mnoo!! Mama hataki wapinga mapambio wa jiwe!!
Kigogo anawadanganya mazuzu na minyumbu kule Twitter eti Chama kilikuwa kinamtaka Nchimbi heheheheKigogo hoi