Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Jamani baadhi ya wabunge mnapaswa mumuadress Samia kama rais Samia siyo Mama Samia.
 
Tunaomba CV ya Mr Mpango

1a93c497-c52c-41ba-a17f-3b528d5f497b.jpg
 
Madame President anawakata Umeme TEAM CHAWA (wazee wa kusifu na kuabudu) taratibu huku wenye hali ngumu anawaomba kuwasaidia... Madame President anaonyesha Upendo wa AGAPE katika taifa la wana wa BABELI..
 
Mnyukano ndani ya shambani kati ya mazao ya kale na mazao kizazi kipya yametifuana sana na hakuna anayetegemea mpaka sasa kama mazao yaliyorutubishwa kiwandani yangepata nguvu ya kuzidi mazao ya asili.

Picha hii inanikumbusha yule kijana ambaye alitegemea mzazi wake aliyekuwa kigogo kwenye ofisi ambayo yule kijana alipata nafasi kutokana na babake.

👉🏾Aluta continue...
Moderator siyo kila mtu ni rafiki, huu uzi hauhusiki na hii mada nini kimewafanya kuunganisha😬?.
 
Back
Top Bottom