MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Sawa sawa!Tujipe muda kiasi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa!Tujipe muda kiasi mkuu
HafaiNamuona Kimei akipiga jaramba nafasi aliyokuwapo dk Mpango ya uaziri wa fedha na mipango itamfaa sana.
Vipi ulitaka achaguliwe mlemavu Lissu??CCM ni ile ile!
Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena .
Nani alikwambia KAbudi na Bashiru wanahitaji kuwa VP, au Kigogo kasema?Kwan awe hoi? Maana kapambana na kuwapaka Bashiru Kabudi wasiwe VP. Kwake ni ushindi
Sijui hapo katiba inasemaje?Itabidi iwe hivyo! Kinyume na hapo, basi atakuwa ndiye Makamu wa Rais wa kwanza wa Rais nchini ambaye kwa wakati huo huo anahudumu pia kama Mbunge.
Mwenzako ameshinda, alichofanya ni kuhakikisha specific Bashiru na Kabudi hawawi.Rais wa twita kawaingiza chaka nyumbu wenzake
Bashiru na Majaliwa tayari walikuwa na viongozi waandamizi. Yale ni maneno tu ya Kigogo kutaka kuwachafua. Yaani mtu aache UPM akawe VP??? haingii akili hata kwa mwendawazimuKwan awe hoi? Maana kapambana na kuwapaka Bashiru Kabudi wasiwe VP. Kwake ni ushindi
Ngoja tusubiri pengine pole pole au msukuma yule mbunge maana bado ni vijanaAkishakaa rais na makamu wake 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Naona siku mbili hizi kasema Cheif Secretary ni rafiki yangu Nehemiah Mchechu na Mafuru anakamata Hazina teh teh teh tehWalitakiwa Kama 100 hivi alafu wote holaaa
Mara nchimbi, Mara bashiru, Mara makamba, Mara kabudi, Mara majaliwa, Mara sijui nani
Lazima uchaguzi utafanyika. No way out. Makamu wa Rais hawezi kuwa Mbunge kwa wakati huo huo.Sijui hapo katiba inasemaje?
Ameshinda maana kampiga sana vita bashiru na kashindaMwenzako ameshinda, alichofanya ni kuhakikisha specific Bashiru na Kabudi hawawi.
[emoji16][emoji16][emoji16]Huyu jamaa ni mtulivu mno afadhari kaukwaa u VP nilimhofia mzee wa jalalani kero sana yule mwamba na mimacho yake kama taa za scania
Anyway namshukuru mweshima mungu
Aaaa mweshimiwa Rais
Kabudi bwana haaaaahaaahaaaaa
Viva mpango!
Bungeni dodoma via TBC,UTV,STAR TV,CHANNEL 10 na nyingine zote zilizokuwa live bungeniSource??
Kabla ya hapo alikuwa mshauri wake wa uchumi. Ilikuwa ni tabia ya JK kuvuta wataalamu wazawa waliokuwa nje kama wakina Mpango, Prof Assad, Omar Nundu, Prof Muhongo n.kAliyemuibua Mpango ni Kikwete kwenye ule mradi wa Big Results
Kigogo anawadanganya anajua kila kitu na anamjua kila mtu nchi hii. Ana mpaka watu wa Usalama wa Ikulu teh teh teh tehKwani Kigogo ni msemaji wa serikali au aliwahi sema ni lazima atoe kila taarifa. Unakaribishwa lift unapiga na honi
Wakenya wamepata kichwa kingine cha habari.Baada ya Tz kupata Suluhu sasa yapata Mpango