Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Litakuwa wazi kwani VP siyo lazima awe mbunge na kama ataendelea kuwa mbunge, kuna moja litadorora na hasa la kuwakilisha jimbo lake bungeni.
Nimepitia katiba Jimbo liko waz Sasa tanzainia inahamia kigoma kule majimba mawili yanakuwa waz sjiu km kampen zake wapinzani Bado wataendelea kumsifia madam president huko
 
Uteuzi wa Dr Mpango kuwa Makamu wa Rais ni dhahiri kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuheshimu na kuendeleza Urithi (legathy) ya Hayati Magufuli - Hapa Kazitu#
Hakuna cha legacy wala nini! Alicho angalia hapo ni utendaji kazi wa mtu, uadilifu wake na nidhamu yake kwa ujumla.

Magufuli ameacha legacy ya hovyo tu! Ukabila, uonevu, upendeleo, ubinafsi, ukaidi, umungu mtu, ubaguzi, udhulumati, nk.
 
Tuna imani na Mpango hasa katika mambo ya kiuchumi Yuko fiti Tz iloyoachwa na Hayati JPM ilisababisha Pesa mtaani kupotea naamini mchumi Mpango atakuja namipango imara

Tunachotaka turudishiwe pesa mtaani mwenye nacho awenacho ambae hana Basi atafute kwa jasho....

Hongera mama Samia
 
😅😅😅wale wa upande wa pili wanamaoni gani?tuanzie hapo🎤🎤
 
Hakuna cha legacy wala nini! Alicho angalia hapo ni utendaji kazi wa mtu, uadilifu wake na nidhamu yake kwa ujumla.

Magufuli ameacha legacy ya hovyo tu! Ukabila, uonevu, upendeleo, ubinafsi, ukaidi, umungu mtu, ubaguzi, udhukumati, nk.
Huo utendaji kazi mzuri wa mpango ni nani alie tuletea sisi wananchi ? ? Mpango kaletwa na Mh Jpm Bila Jiwe tusingemjua,,,,Watu Mna chuki zakijinga jinga sanaaaaaa

Mpango ni product ya Magu
 

Kwenye yote uliyoandika mimechukua hilo la "Kukutwa nayo ndani." Funguka kidogo basi katika hili.
 
Dr Mpango Mitano tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaweka nguvu zangu za kuzunguka nchi nzima kuwanadi 2025.

Mungu ni mwema kwa kuifanya siku leo yenye furaha kwang
 
Huyu jamaa ni mtulivu mno afadhari kaukwaa u VP nilimhofia mzee wa jalalani kero sana yule mwamba na mimacho yake kama taa za scania

Anyway namshukuru mweshima mungu
Aaaa mweshimiwa Rais
Kabudi bwana haaaaahaaahaaaaa


Viva mpango!
Hahahahahahahahhaahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…