G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Alisema Nani?Kigogo hoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema Nani?Kigogo hoi
Hahahhaaa in membez voiceNa mke wangu baada ya kula chakula kizuriiiii, kwenye hotel nzuriiiii
Pigo kwa MATAGA kama wewe maana huyu mzee hapendagi kabisa kujikomba na kupelekewa majungu.Imepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini
Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
Hatuwezi kupoteza muda kwa vitu vya kijingaMkuu mbona umehamaki hivi haya si mazungumzo tu ya hapa JF mbona unataka kupigana
Acheni kuamini ugoloAmeshinda maana kampiga sana vita bashiru na kashinda
Ungemuuliza wewe unayemfatilia. Twitter namcheki Elon Musk na kabla ya sasa nilikuwa namfata Trump peke yao.Kigogo anawadanganya anajua kila kitu na anamjua kila mtu nchi hii. Ana mpaka watu wa Usalama wa Ikulu teh teh teh teh
Hapa vipi, hakumuona Mpango teh teh teh
Chaguo lako alikuwa nani?Dah tumepigwa!
Unatupenda kuliko maza ako?Kwanini mnakua wajinga sana,,,me nawapenda ndio maana wallah
Korona inatibikavip hali ya afya yake kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui yuko wapi siku hiziHahahhaaa in membez voice
Kuna watu ni vilaza. Mi nilikua nawashangaa wanaowataja Nchimbi na taahira Nchemba. Ni dhahiri hawajui uchambuzi wa siasa. Bogus minds pekee ndio zingemuwazia u-VP Nchimbi au Mwigulu.[emoji23][emoji23][emoji23] watu walipiga kelele sana humu kuhusu Nchimbi
Kabudi hawezi na nina mashaka na nafasi yake ya uwaziri uwenda akatemeshwa.Bora hata ya huyo, kuliko Kabudi.
Ila lenye mashiko ni lile la bavicha maana lipo ikuluPigo kwa MATAGA kama wewe maana huyu mzee hapendagi kabisa kujikomba na kupelekewa majungu.
Kumbe ndiyo maana jana VICCM wakaamua kuomba radhi walishajua kuwa gang lao halina tena mashiko.
Hakuna shida Ilimradi anatanguliza maslahi ya TaifaMseminari mwingine!
Kwani Kakoko aliteuliwa na nani? Utendaji bora ufanywe na Mpango! Halafu wewe unataka nimsifie Magufuli?Huo utendaji kazi mzuri wa mpango ni nani alie tuletea sisi wananchi ? ? Mpango kaletwa na Mh Jpm Bila Jiwe tusingemjua,,,,Watu Mna chuki zakijinga jinga sanaaaaaa
Mpango ni product ya Magu
Iniume nn sasa mkuu?mie nimecheka kasema kabudi macho kama taa za scania..mie kula yangu haitegemei ccm hata 0.001%..wewe lazima upate mhaho...not me mxiewinaonekana mekuuma kweli kweli
Pambanaa
Uchawi utaacha lini?Mama hii ngoma haiwezi. Tuko hapa