Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mpango alivutwa na nani kurudi bongo na kupewa majukumu? Kisha alikuwa mshauri wa nani masuala ya uchumi? Nani alimuweka kusimamia tume ya mipango?
Nimekupata nimekupata mkuu,ni zao la hayati.
Labda tusubiri Wafipa wanasemaje waliokua wanapendekeza wakina fulani mmoja wapo awe VP.
 
Mseminarist mwingine huyo na ni chasmatic leader mcha mungu. Mpango wewe ndiyo kuhani mkuu uliyempendeza bwana. Piga kazi VP msaidie mama yetu
 
Hongera Dk Mpango.
Hongera Mama Samia , endelea kuachana na ile team kula ya miaka ile, wakirudi wale ni hatari kwa taifa.
 
Hii ni kauli ya mwaka kutoka kwa Mh. Philip Mpango kabla ya zoezi la kura za kuthibitisha jina lake kutangazwa bungeni..."Mimi siyo mpole kwa wabadhirifu".......Tanzania bado kuna umasikini mkubwa, kuna Watanzania zaidi ya milioni kumi na nne wanaoishi katika lindi la umasikini"....
 
Mmmmh, hapa mboga moto ugali moto.

Kwaku mchagua huyu, naweza kubeti sasa kwamba Mamayetu yupo very serious.

Late's keep on wait and see.
 
naona mnaweweseka ..tulieni sindano bado inapenya tarattiiiibuuu....

Pigo la kwanza takatifu murua kabisa

Sasa tunasubiri mapigo mengine ...
Badala ya Mwanza sasa tumehamia kigoma.
Vizuri sana
 
Ila hii sio fare kabisa, serikali inaingia hasara ya kuitisha tena uchaguzi, jimbo manake liko wazi
 
Back
Top Bottom