Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Pigo kwa MATAGA kama wewe maana huyu mzee hapendagi kabisa kujikomba na kupelekewa majungu.

Kumbe ndiyo maana jana VICCM wakaamua kuomba radhi walishajua kuwa gang lao halina tena mashiko.
 
Kigogo anawadanganya anajua kila kitu na anamjua kila mtu nchi hii. Ana mpaka watu wa Usalama wa Ikulu teh teh teh teh

Hapa vipi, hakumuona Mpango teh teh teh
Ungemuuliza wewe unayemfatilia. Twitter namcheki Elon Musk na kabla ya sasa nilikuwa namfata Trump peke yao.

Sitomfatilia whistleblower anayeshinda mtandaoni. Whistleblowers huwa wanatoa taarifa mbili tatu tu kwa mwaka, basi. Kina Snowden hawakuwa wanachat mitandaoni na kuretweet
 
Pigo kwa MATAGA kama wewe maana huyu mzee hapendagi kabisa kujikomba na kupelekewa majungu.

Kumbe ndiyo maana jana VICCM wakaamua kuomba radhi walishajua kuwa gang lao halina tena mashiko.
Ila lenye mashiko ni lile la bavicha maana lipo ikulu
 
Huo utendaji kazi mzuri wa mpango ni nani alie tuletea sisi wananchi ? ? Mpango kaletwa na Mh Jpm Bila Jiwe tusingemjua,,,,Watu Mna chuki zakijinga jinga sanaaaaaa

Mpango ni product ya Magu
Kwani Kakoko aliteuliwa na nani? Utendaji bora ufanywe na Mpango! Halafu wewe unataka nimsifie Magufuli?

Yale yale ya barabara zinajengwa kwa kodi zetu, ila sifa zinaenda kwa magufuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…