Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Kabla ya Hapo Mpango alikua wapi ?

Alimteua mpango kua mbunge ni nani ?

Aliempa uwaziri mpango ni nani ?

Mpango alikua anafanya kazi chini ya Nani ?

Majibu unayo mwenyewe
Haya Magufuli jembe sio jembe

Na Vice versa kwa kakoko
Kakoko mwizi tu
 
Mpango katolewa WB na JK, akawa mshauri wake wa masuala ya kiuchumi, akamuweka kusimamia tume ya mipango huko kwenye BRN. Ilikuwa ni tabia ya JK kuwarudisha wataalamu wetu walionje waje kujenga nchi. Alishakuwa anaranda Ikulu akiwa na Jk.
Haijalishi..aliemuinua kisiasa ni JPM...hayo mengine utajua wewe na hiyo team yako ya pre-2015, hili taifa ni letu sote na vizazi vijavyo...upuuzi wa kuuzia wazungu nchi uishie huko huko.
 

Kama hana mke nijisogeze [emoji4]
 
Huyu mama anaenda kutuibia watanganyika, kwa kutuwekea mtu bomu pale Hazina. Kwa mara ya kwanza tangu napata fahamu Watanganyika tumekuwa na waziri wa fedha asiyetuibia. Sasa ku toa hapo ni mipango ya wizi TU.
Chadema mmeanza bado kigogo tu nayeye aanze kutukana spana za Leo zimewaingia mpaka kunako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…