Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Tumia akili

Hilo sukuma gang mmetengeneza ninyi

Sisi tunajua " MAGUFULI GANG "

Mpango ni zao la Chuma
Charles Kimei ni zao la Chuma (waziri mtarajiwa huyu)
Bashiru zao la Chuma
Kijazi zao la Chuma
Kabudi zao la Chuma
Hata mama Samia

Endeleeni kupaka mavi Sejikali ya Chuma mungu anawaona
Tumeamua kusafisha ghala,hutaki kanywe sumu tu
 
We kutwa kucha unawaza teuzi tu!

Hivi huwezi kuishi bila kuteuliwa?

Mbwa koko wa Ufipa mna tabu sana.
Utatukana sana dogo ila hapa ukweli utasimama tu kuwa gang lenu ndiyo rasmi limezikwa leo hii maana hamna pa kukimbilia.
 
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.

Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..

Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori Mpango kwa Nafasi ya Makamu wa Rais Tanzania.

Soma > Wasifu wa Dkt. Philip Isdori Mpango


Bunge lamthibitisha kwa kishindo
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha Dkt. Philip Isdor Mpango kwa asilimia 100 kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kura zote 363 za wabunge waliopiga kura.







Dk Philip Mpango alizaliwa July 14, 1957 alikuwa ni Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano.

Mpango ni mzaliwa wa Kigoma, baba yake ni marehemu Isidori Nzabhayanga Mpango, ambaye alizaliwa Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Kasulu. Dk Mpango alizaliwa hapohapo Kasumo na ni kaka mdogo wa Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanganyika Magharibi – Kasulu mkoani Kigoma, Dk Gerard Mpango.

Dk Mpango ni mchumi mwenye shahada ya uzamivu ya uchumi. Hata hivyo, hadi sasa taarifa zake za elimu ya msingi, sekondari na shahada za awali za chuo kikuu hazijapatikana naye amekuwa vikaoni Dodoma muda mrefu na alishindwa kuzitoa kwa wakati.

Kuanzia miaka ya 1990 hadi 2000, alifanya kazi akiwa mhadhiri mwandamizi wa uchumi katika kitivo cha Biashara (sasa Shule ya Biashara) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Alikuwa akifundisha “Microeconomics”,

“Macroeconomics” (kwa mwaka wa pili) na “Public Finance” kwa mwaka wa tatu na kozi za uzamili.

Amewahi kuwa Mchumi Mwandamizi wa Benki ya Dunia, Mkuu wa Kamati ya kumshauri Rais Jakaya Kikwete wakati huo kuhusu masuala ya uchumi, Katibu binafsi wa Rais anayeshughulikia masuala ya uchumi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, kabla ya kuhamishiwa Tume ya Mipango, Ofisi ya Rais. Nyadhifa hizi zote amezishika wakati wa utawala wa Kikwete.

Hayati Magufuli alipoingia madarakani alimteua kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na baada ya siku chache akateuliwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango.

Dk Mpango ni kiongozi mwenye msimamo thabiti. Baadhi ya watendaji ambao wamewahi kufanya kazi chini yake kwenye ofisi ya Rais wanamuelezea kama mtu anayetaka waliomzunguka wazungumze kwa takwimu na ushahidi hasa katika masuala ya uchumi. Msimamo huo pia aliuonyesha alipokuwa mtaalamu wa Benki ya Dunia. Hakuwa mwoga kuieleza ukweli Serikali pale ambako ilikuwa haifanyi vizuri.

Mathalan, wakati wasomi wengi wa uchumi wakiwa wanapiga kelele za kuisifia Serikali juu ya ukuaji wa uchumi miaka ya mwanzoni ya 2000, Dk Mpango alieleza wazi kuwa lengo hilo la kukuza uchumi kwa asilimia 5.9 haliwezi kufikiwa kwa sababu katika miaka minne iliyopita, Serikali ilishindwa kulifikia.

Alisema: “Angalia kwa miaka minne hadi mitano iliyopita ambayo tulikuwa na sera nzuri za kibajeti, hakuna mwaka ambao ukuaji huo ulifikiwa, hizo ni dalili tosha kwamba hali hiyohiyo ndiyo itajitokeza mwaka huu.”

End of SUKUMA -Gang,
 
Tumia akili

Hilo sukuma gang mmetengeneza ninyi

Sisi tunajua " MAGUFULI GANG "

Mpango ni zao la Chuma
Charles Kimei ni zao la Chuma (waziri mtarajiwa huyu)
Bashiru zao la Chuma
Kijazi zao la Chuma
Kabudi zao la Chuma
Hata mama Samia

Endeleeni kupaka mavi Sejikali ya Chuma mungu anawaona
Acha kudanganya watu we puto, Huyu mpango ametolewa W.B na JK kuja kupambana na mpango wa BRN! Kama huna unachokiju kaa kimya sio kuwa poyoyo
 
Utatukana sana dogo ila hapa ukweli utasimama tu kuwa gang lenu ndiyo rasmi limezikwa leo hii maana hamna pa kukimbilia.
Nyumbu hujielewi.

Unamwaga povu tu.

Si ajabu unatokwa na mipovu kwenye kila Tundu lililopo kwenye kimwili chako.

Al junun funun.
 
Aaarrwap

"Tuna taarifiwa hapa na team yetu
Makamba hajapiga kura, it very tough and bumpy ride "

Nimempatia kiggo eti ? Bwahahahahahh
Hadi mtakunywa sumu maana safari hii hatutaki uchafu wenu tena
 
Pigo kwa MATAGA kama wewe maana huyu mzee hapendagi kabisa kujikomba na kupelekewa majungu.

Kumbe ndiyo maana jana VICCM wakaamua kuomba radhi walishajua kuwa gang lao halina tena mashiko.

Hujielewi hata kidogo

Ila utakapoacha uzushi na kusambaza habari za umbea unaweza ukajielewa japo kwa mbaliiiiiiii

MoodRN

 
Mtu kama mmawia ni mtaji mkubwa sana kwa akina belgiji,

Belgiji akiona coment kama hizi za kina mmawia anajiona tayari yeye ni rais anaesubiri kuapishwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi naye ni mtu huyo?

Ni mburukenge wa Ufipa huyo.
 
Kuna nguli wa siasa nimemuuliza kwamba mama Samia anapigana style gani akanijibu "Shotokan"
 
Back
Top Bottom