Destruction
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 260
- 418
Mbona kggo anasema mpango ni jiwe mtupu kulikoniMpango ni zao la JK.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kggo anasema mpango ni jiwe mtupu kulikoniMpango ni zao la JK.
Yes. Mpango was headhunted by JK. Msimpe sifa marhum JohnMpango sio aliletwa na JK. Embu fuatilia.
Aaarrrgh!"...jambo jema tunaloweza kumtendea wema hayati Rais John Joseph Pombe Magufuli ni kuyaenzi maono yake....."Mh. Philipo Mpango!
CCM ni ile ile!
Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena .
Kapigwa jiwe la utosi[emoji28].Kigogo hoi
Mungu wa Twitter kasema mpango ni Jiwe pure ana maana gani ?Yes. Mpango was headhunted by JK. Msimpe sifa marhum John
Samia ni mafia kama mafia wengine wa ccm.Aisee makusudi ,japo tutarajie mifumo kuwa bora, Mpango na Samia si wanasiasa kivile.
Kwani hujamcheki leo!?Muwe wapole tu mkuu! Kwa Kigogo anasemaje huko twiiitaaaa?
We ulitarajia Jipya gani kwani? Tatizo lenu mlijipa matazimio makubwa, mkasahau kwamba iliyopo madarakani ni CCM ileile. Kifupi sitarajii mabadiliko makubwa sana kwenye Baraza la mawaziri.CCM ni ile ile!
Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena .
Endeleeni kufarijiana.Anaondolewa Hazina kiakili sana
Thubutu!Namuona Kimei akipiga jaramba nafasi aliyokuwapo dk Mpango ya uaziri wa fedha na mipango itamfaa sana.
Kama lilikuwepo wazo lilitenguliwa. Kigogo alitoa angalizo ya yanayoendelea gizani... Nadhani ikampa mama tahadhari kuhusu wasaka nafasi !!Dada mama D Ramli za Kigogo Hazijatimia? Ni Watu wajinga Tu wanaoweza kumwamini Kigogo, Mara January, Nchimbi, Mara Sjui Bashiru. Wale waleta twiti za Kigogo Hakuna Twiti Mpya Huko? [emoji2][emoji2][emoji2]
Kama unamzungumzia kigogo huwa anabahatishaga, ni mzuri kwa tetesi.Mungu wa Twitter kasema mpango ni Jiwe pure ana maana gani ?
Welp!Mara hii mmeanza tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama kakataa kuwa kibaraka wa Team Msoga.Mpango yupi tena jamani?
Si tulikubaliana mama aweke safu mpya na team Msoga wawemo?
Tunyanyulie tu midomo tuu ila ndio hivyoThubutu!
Wewe ulivyoingia huko uliiona nini!?Vipi mafollowers wa Kigogo, chanzo chenu kilisemaje?