Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

CCM ni ile ile!

Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena .
We ulitarajia Jipya gani kwani? Tatizo lenu mlijipa matazimio makubwa, mkasahau kwamba iliyopo madarakani ni CCM ileile. Kifupi sitarajii mabadiliko makubwa sana kwenye Baraza la mawaziri.
 
Dada mama D Ramli za Kigogo Hazijatimia? Ni Watu wajinga Tu wanaoweza kumwamini Kigogo, Mara January, Nchimbi, Mara Sjui Bashiru. Wale waleta twiti za Kigogo Hakuna Twiti Mpya Huko? [emoji2][emoji2][emoji2]
Kama lilikuwepo wazo lilitenguliwa. Kigogo alitoa angalizo ya yanayoendelea gizani... Nadhani ikampa mama tahadhari kuhusu wasaka nafasi !!
 
Kura 353
Kura za ndiyo 363 sawa na aslimia 100
HONGERA DKT MPANGO
Chapa kazi achana na siasa na wanasiasa
 
Hii ndiyo sura halisi ya bunge la Taletale na ndiyo muelekeo wa bunge letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…