Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

kigogo anasema mpango ni meko pure hivo kamwambia rais amalize kupanga safu yake ili aanze kumpopoa kwa miaka 4 na miezi 8

hawa wapumbavu hawataki kukubali kua muda wao ushaisha
Kwahiyo yeye huyo taahira alitaka nani awe makamu rais?

Kumbe hili genge la kigogo litakuwa kweli la enzi za kikwete?
 
Ila waha wana Tania mbaya sana ni wabinafsi sana hawapendi kuona mwingine anafanikiwa
 
Yani hata uwezo wa ku analyze mambo huna...wewe ni chuki tu..sasa mpango ni legacy ya nani ? Alikuwa mtu anaaminiwa na nani? Mpango ameletwa na magufuli.
Wewe ndo hujui kumbe, Mpango ni pure sukuma gang na kwa mwendo huu namuona Bashiru, Majaliwa na wengine wengi tu,wakidumu katika nafasi zao.

Team msoga,muda wenu ulishapita.
 
Dk Mpango alikuwa anafanya kazi World bank ..2007 Kikwete akamleta Ikulu awe advisor wa mambo ya uchumi kafanya kazi na Kikwete miaka 8 na alipokuja JPM akampa uwaziri wa fedha ..Kikwete amewapiga chenga ya mwili
 
Welp!

That didn’t take long, did it?

View attachment 1738616
Dah, watu sasa wajifunze kutumia vichwa vyao kufikiri, naona huyo Kigogo now anamwaga tu matusi bila kujua anaemtukana ndie kawekwa na aliyepo, watu hasa wapinzani wanatakiwa kujiweka mbali sana na huyo mtu, anaweza akawaharibia mahusiano yao na Rais.
 
Bora huyo
veronica anaongea ukweli wenye masrahi kuliko
kgogo anasema Uongo wenye faida
veronica anaongea ukweli? lol jesus man seriously.
am not a fan of bothe of them. but niseme wote ni wazee wa kuspeculate.
atleast maybe kigogoo ana access na inside stories.. ila na yy wale wale.
hamna mwenye nafuu.
 
Wewe ndo hujui kumbe, Mpango ni pure sukuma gang na kwa mwendo huu namuona Bashiru, Majaliwa na wengine wengi tu,wakidumu katika nafasi zao.

Team msoga,muda wenu ulishapita.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpango ni Sukuma Gang, Aisee. Kweli kazi ipo.
 
Dk Mpango alikuwa anafanya kazi World bank ..2007 Kikwete akamleta Ikulu awe advisor wa mambo ya uchumi kafanya kazi na Kikwete miaka 8 na alipokuja JPM akampa uwaziri wa fedha ..Kikwete amewapiga chenga ya mwili
Jipe moyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpango ni Sukuma Gang, Aisee. Kweli kazi ipo.
Sasa hujui kuwa ni moja Kati ya watu walioaminiwa na kulindwa sana na aliekuwa Rais? Au siasa za nchi hii umeanza kuzifatilia juzi[emoji848].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…