Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwani bado yuko wizarani ?Endeleeni kufarijiana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani bado yuko wizarani ?Endeleeni kufarijiana.
Pole haitakaa itokeeTunyanyulie tu midomo tuu ila ndio hivyo
Kwahiyo yeye huyo taahira alitaka nani awe makamu rais?kigogo anasema mpango ni meko pure hivo kamwambia rais amalize kupanga safu yake ili aanze kumpopoa kwa miaka 4 na miezi 8
hawa wapumbavu hawataki kukubali kua muda wao ushaisha
Team msoga hamna vyenuKwani bado yuko wizarani ?
Wewe ndo hujui kumbe, Mpango ni pure sukuma gang na kwa mwendo huu namuona Bashiru, Majaliwa na wengine wengi tu,wakidumu katika nafasi zao.Yani hata uwezo wa ku analyze mambo huna...wewe ni chuki tu..sasa mpango ni legacy ya nani ? Alikuwa mtu anaaminiwa na nani? Mpango ameletwa na magufuli.
Hatari sana, hao jamaa sijui kwa kweli.Mara hii mmeanza tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ninyi hajamgundua hiloKwahiyo yeye huyo taahira alitaka nani awe makamu rais?
Kumbe hili genge la kigogo litakuwa kweli la enzi za kikwete?
Dk Mpango alikuwa anafanya kazi World bank ..2007 Kikwete akamleta Ikulu awe advisor wa mambo ya uchumi kafanya kazi na Kikwete miaka 8 na alipokuja JPM akampa uwaziri wa fedha ..Kikwete amewapiga chenga ya mwiliHilo chaguzi la mama nali support 100% Yani watu wa Pre-2015 sitaki hata kuwasikia...hawana maana..nchi wanaiuza kwa wazungu kama sisi waafrika hatustahili? Mama kama utasoma huu ujumbe piga kazi..tumikia watu wako, hapa duniani tunapita..usisahau watu wako..watambue maadui wa taifa hili. Ipende nchi yako, na siku moja ukisimama kwa Muumba wako hautajuta. Sababu hakika miaka 100 ijayo sote hatutakuwepo, hivyo kwann usitende haki? Ujenge taifa lako?
Huyo mtu wa Kikwete alimtoa world bank 2007 kasome cv yakeFor Shizo Manizooo
Ukipata UVIKO-19 halafu ukapona, una kinga za mwili za kutopata UVIKO tena kwa miezi 9. Ni sawa na kudungwa sindano.Akadungwe chanjo fasta hali iimarike
Dah, watu sasa wajifunze kutumia vichwa vyao kufikiri, naona huyo Kigogo now anamwaga tu matusi bila kujua anaemtukana ndie kawekwa na aliyepo, watu hasa wapinzani wanatakiwa kujiweka mbali sana na huyo mtu, anaweza akawaharibia mahusiano yao na Rais.
Naona wanalialia
Kigogo matako tu yule, vivyo hivyo kwa wanaomuamini.Safi. Safi sana
Kigogo anasemaje [emoji23]?
Mataahira tu ndio wanaweza kumuamini huyo chizi.
veronica anaongea ukweli? lol jesus man seriously.Bora huyo
veronica anaongea ukweli wenye masrahi kuliko
kgogo anasema Uongo wenye faida
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpango ni Sukuma Gang, Aisee. Kweli kazi ipo.Wewe ndo hujui kumbe, Mpango ni pure sukuma gang na kwa mwendo huu namuona Bashiru, Majaliwa na wengine wengi tu,wakidumu katika nafasi zao.
Team msoga,muda wenu ulishapita.
Jipe moyo.Dk Mpango alikuwa anafanya kazi World bank ..2007 Kikwete akamleta Ikulu awe advisor wa mambo ya uchumi kafanya kazi na Kikwete miaka 8 na alipokuja JPM akampa uwaziri wa fedha ..Kikwete amewapiga chenga ya mwili
Sasa hujui kuwa ni moja Kati ya watu walioaminiwa na kulindwa sana na aliekuwa Rais? Au siasa za nchi hii umeanza kuzifatilia juzi[emoji848].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpango ni Sukuma Gang, Aisee. Kweli kazi ipo.