Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

😳 😳 😳 ☺️☺️😀
 
Jiwe yupi tena ?
Hapa tunaongelea JK team akiwepo na kijana wake Mpango
Hahaha wanasaccos ni shida tena amekuwa kipenzi chenu? Wakati mpaka mlimzushia kifo cha corona. Mungu kamnyanyua tena mmenza kujipendekeza kwake. Wakati alipoapishwa pamoja na Waziri Mkuu yeye na Kabudi mkaleta maneno mengiii sasa mmepiga Uturn ya nguvu.
 
we nae ebu jifunze kujitegemea. kwani wasipopost nini mbaya
 
Punguza shobo we dada mimi sio size Yako. Endelea kumpikia majalala Chai na mkate wa kumimina hapo ofisi ya foreign affairs
Kama ulikiwepo maana hili jamaa sikwashobo hizi
 
Hilo ndiyo tatizo walilonalo hao waliokuwa wamemzunguka jpm na hawataki kusikia mabadiliko maana walikuwa wanajidanganya kuwa atatawala milele kama m7
Ni kujiandaa kisaikolojia kama unamtegemea mama awe jpm.
 
Upo sahihi sana
 
Hiyo yoote ni team Kikwete na kama unabisha basi bisha kujifurahisha tu.

Kaaazi ndiyo kwanza inaaanza upyaaaaaaaaaaaaaaa
Narudia tena jipe moyo. Kama unahisi huyu ana makando kando ya pre-2015 nasema jipe moyo utashinda...tunachojua sisi WANYONGE tumeshinda..upuuzi wa 2015 na kurudi nyuma utasoma number. Nchi mbele kwa mbele.
 
Wanafikiri nchi itaendelea kuwa kama kipindi cha JPM.
Samia si Jpm. Mambo mengi sana yanaenda kuwa tofauti.
Haya tumewasikia sasa tumemthibitisha Makamo wa Rais Dr. Mpango. Semeni jingine?
 
Narudia tena jipe moyo. Kama unahisi huyu ana makando kando ya pre-2015 nasema jipe moyo utashinda...tunachojua sisi WANYONGE tumeshinda..upuuzi wa 2015 na kurudi nyuma utasoma number. Nchi mbele kwa mbele.
Moyo ninao tangu nazaliwa nitajipaje tena?
Ushavurugwa tayari?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…