Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mungu kwl.juzi mzee Mpango anapambania uhai Leo ni makamu wa raisi Mungu hachunguziki hakika. Hongera Mpango....ukaretereze mipango sahihi kama ririvyo jina lako lilivyo lizuli lizuli in my late father Jembe Chuma Magufuli's voice Pumzika kwa.amani jemedari
😳 😳 😳 ☺️☺️😀
 
Jiwe yupi tena ?
Hapa tunaongelea JK team akiwepo na kijana wake Mpango
Hahaha wanasaccos ni shida tena amekuwa kipenzi chenu? Wakati mpaka mlimzushia kifo cha corona. Mungu kamnyanyua tena mmenza kujipendekeza kwake. Wakati alipoapishwa pamoja na Waziri Mkuu yeye na Kabudi mkaleta maneno mengiii sasa mmepiga Uturn ya nguvu.
 
Kabudi should be next. Samia should remove Palamagamba kwenye hiyo wizara ya mambo ya nje. Haiwezi.

Kwa miaka mitano na nusu iliyopita ni kama tulitengwa hivi na allies wetu kama Marekani na nchi za Europe, tukaanza kuengage sana wachina, which is way dangerous.

Achaguliwe mtu anayeweza kurudisha mahusiano yetu na Marekani km ilivyokuwa zamani na nchi za ulaya. Just imagine Kuna kipindi mpaka US presidents walikuwa wa nakuja Tanzania, alivyoingia majalala US department of foreign affairs hata msiba wa jiwe hawakupost. Ni crises.

Huwezi ukaenda kwenye UN General assembly ukaanza kuongelea jinsi awamu ya tano Inatengeneza vyoo kwa kasi. Tunachekwa!
we nae ebu jifunze kujitegemea. kwani wasipopost nini mbaya
 
Hilo ndiyo tatizo walilonalo hao waliokuwa wamemzunguka jpm na hawataki kusikia mabadiliko maana walikuwa wanajidanganya kuwa atatawala milele kama m7
Ni kujiandaa kisaikolojia kama unamtegemea mama awe jpm.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama nafasi ya umakamu wa raisi inaushauwishi mkubwa kiasi cha kupeleka hatari kubwa sana...

Matatizo uliyoyabainisha ni matokeo ya maamuzi yaliyofanyika kipindi Mama akiwa makamu wa raisi...

Pamoja na Mama kuwa katika nafasi yenye ushawishi unaoweza leta hatari sana, Mama bado aliachilia maamuzi yaliyopelekea matatizo kutekelezwa...

Nitakosea kusema, kitendo cha mama kutotumia ushawishi ambao Dr. Mpango soon anakwenda kuwa nao alikuwa naye sehemu ya kivuli cha the late..

Maana yake, kuanzia Mama na safu yake wote ni kivuli cha the late.

Why umuandame Mpango pekee?
Upo sahihi sana
 
Hiyo yoote ni team Kikwete na kama unabisha basi bisha kujifurahisha tu.

Kaaazi ndiyo kwanza inaaanza upyaaaaaaaaaaaaaaa
Narudia tena jipe moyo. Kama unahisi huyu ana makando kando ya pre-2015 nasema jipe moyo utashinda...tunachojua sisi WANYONGE tumeshinda..upuuzi wa 2015 na kurudi nyuma utasoma number. Nchi mbele kwa mbele.
 
Wanafikiri nchi itaendelea kuwa kama kipindi cha JPM.
Samia si Jpm. Mambo mengi sana yanaenda kuwa tofauti.
Haya tumewasikia sasa tumemthibitisha Makamo wa Rais Dr. Mpango. Semeni jingine?
 
Narudia tena jipe moyo. Kama unahisi huyu ana makando kando ya pre-2015 nasema jipe moyo utashinda...tunachojua sisi WANYONGE tumeshinda..upuuzi wa 2015 na kurudi nyuma utasoma number. Nchi mbele kwa mbele.
Moyo ninao tangu nazaliwa nitajipaje tena?
Ushavurugwa tayari?
 
Mpango ni mzaliwa wa Kigoma, baba yake ni marehemu Isidori Nzabhayanga Mpango, ambaye alizaliwa Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Kasulu. Dk Mpango alizaliwa hapohapo Kasumo na ni kaka mdogo wa Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanganyika Magharibi – Kasulu mkoani Kigoma, Dk Gerard Mpango.
1617101891985.png
 
Back
Top Bottom