Kabudi should be next. Samia should remove Palamagamba kwenye hiyo wizara ya mambo ya nje. Haiwezi.
Kwa miaka mitano na nusu iliyopita ni kama tulitengwa hivi na allies wetu kama Marekani na nchi za Europe, tukaanza kuengage sana wachina, which is way dangerous.
Achaguliwe mtu anayeweza kurudisha mahusiano yetu na Marekani km ilivyokuwa zamani na nchi za ulaya. Just imagine Kuna kipindi mpaka US presidents walikuwa wa nakuja Tanzania, alivyoingia majalala US department of foreign affairs hata msiba wa jiwe hawakupost. Ni crises.
Huwezi ukaenda kwenye UN General assembly ukaanza kuongelea jinsi awamu ya tano Inatengeneza vyoo kwa kasi. Tunachekwa!