Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Ni yule mliyesema kafwaaaaa au mwingine??
 
Mungu kwl.juzi mzee Mpango anapambania uhai Leo ni makamu wa raisi Mungu hachunguziki hakika. Hongera Mpango....ukaretereze mipango sahihi kama ririvyo jina lako lilivyo lizuli lizuli in my late father Jembe Chuma Magufuli's voice Pumzika kwa.amani jemedari
 
Imepenya hiyooooooo

Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi

Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bila shaka hakuna aliyetegeamea
Wakati mwingine pia kutajataja majina kunawafanya muwaharibie wenzenu hata kama Rais alitaka kuwateua lakini kutokana na kutajwa sana Rais inabidi awaepuke.

HONGERA DR PHILIP MPANGO

Ni wakati wa Zito kurudi bungeni sasa
 
Namsikiliza, kumbe kasoma Itaga Seminary kwa miaka miwili. Hapo ni kijiji changu. Hongera sana mheshimiwa.
 
Mpango ana afya stable. Aliumwa corona na akasurvive.

Akamchimba mkwara Makonda alipe kodi na aliyepita alikua pamoja na Mpango katika hili. Inamaanisha Mpango aliaminiwa kuanzia na aliyepita mpaka wa sasa.

Siyo sifa mbaya.
Naunga Mkono Hoja
 
Kwa sasa yawezekana ni mapema mno kulielewa hili lakini huko mbeleni inaweza ikaeleweka.

Kwa sasa CAG yuko Hazina akichunguza mtiririko wa fedha kuanzia mwezi January hadi March, 2021 na ghafla waziri wa fedha Dr Mpango anapandishwa cheo

Ikumbuke January na February Dr Mpango hakuwepo ofisini kwa sababu za kiafya.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…