Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Imepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
TANZANIA.MTU wa wapi uyo VP PRESIDENT
Hawana hamu[emoji23][emoji23][emoji23] watu walipiga kelele sana humu kuhusu Nchimbi
Namsikiliza, kumbe kasoma Itaga Seminary kwa miaka miwili. Hapo ni kijiji changu. Hongera sana mheshimiwa.Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori Mpango kwa Nafasi ya Makamu wa Rais Tanzania.
Ni kweli ila mleta mada bado ana mitero fulaniMkuu punguza wenge...
Naunga Mkono HojaMpango ana afya stable. Aliumwa corona na akasurvive.
Akamchimba mkwara Makonda alipe kodi na aliyepita alikua pamoja na Mpango katika hili. Inamaanisha Mpango aliaminiwa kuanzia na aliyepita mpaka wa sasa.
Siyo sifa mbaya.