Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Hilo chaguzi la mama nali support 100% Yani watu wa Pre-2015 sitaki hata kuwasikia...hawana maana..nchi wanaiuza kwa wazungu kama sisi waafrika hatustahili? Mama kama utasoma huu ujumbe piga kazi..tumikia watu wako, hapa duniani tunapita..usisahau watu wako..watambue maadui wa taifa hili. Ipende nchi yako, na siku moja ukisimama kwa Muumba wako hautajuta. Sababu hakika miaka 100 ijayo sote hatutakuwepo, hivyo kwann usitende haki? Ujenge taifa lako?
 
Au jamaa waliandaa mtu wao kwaio wanaeza wasimpatie 50% votes
 

daaah sasa huyu ni mchumi mzuri sana, ila sasa kwenye swala la kutoa maamuzi sjui
 

Huyu ni manusura wa covid-19. Mwanzo mpya.

Huyu ni mchumi bila shaka hatapendelea miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Kawa nani mkuu huku sitimbi redio na tv hazikamati
 
Huyu namkuunga mkono asilimia 100. Sio kwa sababu ni mpango bali kwa sababu wakati anateuliwa na rais JPM ktk speech yake alimtaja Lee Kuan Yew wa Singapole.

Nikajua mpango ni mtu mkubwa sana maana anajua watu waliofanya miujiza ya kiuchumi nchini mwao.


Pia sio mrohomroho wa madaraka kama wale tunaowafahamu.

Rais umenifurahisha.

Tuko pamoja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…