Green battle
Member
- Jun 11, 2016
- 73
- 68
Mambo mazuri hayahitaji haraka😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome tena sasa, nimeshamaliziaUlianza vizuri ila umekuja kuaribu mwishoooni..
I am sorry, Mpango hafaiSeriuos..hajafit
Kwani hao ukiowataja walikuwa na vyeo gani mwanzo na sasa hivi wana vyeo gani?Bora dk Mpango kuliko hao bashiru na kabudi,sukima gang out taratibu
Una haraka gani sasa? si utulie kwanzaKwa sasa yawezekana ni mapema mno kulielewa hili lakini huko mbeleni inaweza ikaeleweka.
Mpango asingeweza kumgusa Dotto James. Ulitaka yamkute ya Nape dhidi ya Makonda?CCM ni ile ile!
Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena .
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..
Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori Mpango kwa Nafasi ya Makamu wa Rais Tanzania.
Bila shaka hakuna aliyetegeamea
Wakati mwingine pia kutajataja majina kunawafanya muwaharibie wenzenu hata kama Rais alitaka kuwateua lakini kutokana na kutajwa sana Rais inabidi awaepuke.
HONGERA DR PHILIP MPANGO
Ni wakati wa Zito kurudi bungeni sasa
Kawa nani mkuu huku sitimbi redio na tv hazikamatiBila shaka hakuna aliyetegeamea
Wakati mwingine pia kutajataja majina kunawafanya muwaharibie wenzenu hata kama Rais alitaka kuwateua lakini kutokana na kutajwa sana Rais inabidi awaepuke.
HONGERA DR PHILIP MPANGO
Ni wakati wa Zito kurudi bungeni sasa