Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mama asingeweka mpinzani wake kwenye kiti cha Urais 2025,pia mpango ni mpole na atakuwa royal kwa mama, hawa vijana wa mwendokasi wangemsumbua mamaeti makamba wanasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama asingeweka mpinzani wake kwenye kiti cha Urais 2025,pia mpango ni mpole na atakuwa royal kwa mama, hawa vijana wa mwendokasi wangemsumbua mamaeti makamba wanasema
Huyu mpango pale hazina alikuwa hana sauti. Mtoto wa dada dotto James alikuwa anatoa hela anavyotaka.sasa ajiandae
Mimi ni mtanzania huru mkuuKumbe na kusjishaua kote hunaga hata kadi ya chama?[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Kwani mpango sio msukuma?naona mnaweweseka ..tulieni sindano bado inapenya tarattiiiibuuu....
Pigo la kwanza takatifu murua kabisa kwa sukuma gang mafiaso
Sasa tunasubiri mapigo mengine ...
kura si bado au duuh hahahaah
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..
Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori Mpango kwa Nafasi ya Makamu wa Rais Tanzania.
Soma > Wasifu wa Dkt. Philip Isdori Mpango
Teh teh mataga bwanaImepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini
Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
Viongozi imara huchagua wasaidizi imara zaidiUzuri mama anajitambua atamburuta tu
tatizo la january ni makundi. na watu wa makundi ndio wazee wa interest.Huyo jamaa ana nyota ya kutajwa sana, sijawahi kuona akifaa nafasi yoyote ya juu popote kiuongozi.
Sijui ni chuki zangu tu!!
Watakuwa wafuatiliaji wazuri.Aisee makusudi ,japo tutarajie mifumo kuwa bora, Mpango na Samia si wanasiasa kivile.
Unalo babu🙄🙄Teh teh mataga bwana
Makamu wa Rais sio mbunge (kama ilivyokuwa kwa Samia). So, jimbo la Mpango lipo wazi. Lazima wananchi wa Buhingwe wawe na Mbunge wa kuwasemea mjengoniMmmh HV umeuliza swali zuri Sana ukisoma masharti ya Jimbo kuwa wazi sidhan km kupanda cheo ipo ngj nikapitie katiba
Hahaha..Dunia inaenda kasi sana
Hilo genge ni lipi? Liko wapi au lilikuwa wapi?Lile genge la wezi sukuma gang mjiandae huyu jamaa toka nimemfahamu sijasikia skendo chafu.