Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Kabla ya Hapo Mpango alikua wapi ?

Alimteua mpango kua mbunge ni nani ?

Aliempa uwaziri mpango ni nani ?

Mpango alikua anafanya kazi chini ya Nani ?

Majibu unayo mwenyewe
Haya Magufuli jembe sio jembe

Na Vice versa kwa kakoko
Ni jembe la ukabila, uonevu, ubabe, udikteta, ukatili, uuaji, udhulumaji, ubinafsi, na umungu mtu!
 
Kaka salama? naona ramli leo zimekataa
Tembelea tweeter utazame nani tulikuwa tunawaongelea ndiyo mtajua kuwa MATAGA mmekwama.

Na hapo bado hadi baraza la mawaziri litangazwe litakuwa swaaafi ujinga wenu wa itabagumba umefutwa.
 
Kumbe hapo Bungeni wote ni CCM?.
Kwakuwa Makamu amepita kwa kura za wabunge asilimia 100% ndio kusema hata wapinzani wale kina Halima Mdee nao wanaunga juhudi za Mama Samia na Makamu wake.
 
Mtu kama mmawia ni mtaji mkubwa sana kwa akina belgiji,

Belgiji akiona coment kama hizi za kina mmawia anajiona tayari yeye ni rais anaesubiri kuapishwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpango siyo msukhuma,
Mpango ni muha na kamwe alikuwa hana tabia za kuyakubali ma gang yenu ya kikatili
Tumia akili

Hilo sukuma gang mmetengeneza ninyi

Sisi tunajua " MAGUFULI GANG "

Mpango ni zao la Chuma
Charles Kimei ni zao la Chuma (waziri mtarajiwa huyu)
Bashiru zao la Chuma
Kijazi zao la Chuma
Kabudi zao la Chuma
Hata mama Samia

Endeleeni kupaka mavi Sejikali ya Chuma mungu anawaona
 
Tembelea tweeter utazame nani tulikuwa tunawaongelea ndiyo mtajua kuwa MATAGA mmekwama.

Na hapo bado hadi baraza la mawaziri litangazwe litakuwa swaaafi ujinga wenu wa itabagumba umefutwa.
Nani mwezi ngumu kimaisha au?
 
Tembelea tweeter utazame nani tulikuwa tunawaongelea ndiyo mtajua kuwa MATAGA mmekwama.

Na hapo bado hadi baraza la mawaziri litangazwe litakuwa swaaafi ujinga wenu wa itabagumba umefutwa.
Kwamba balaza sasa watateuliwa bavicha tupu
 
Haya baba,kila la kheri tunategemea mipango mingi mizuri kutoka kwako....tuna amini mama hakoseagi kuchagua,.,
 
Back
Top Bottom