Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mpango Atawaleta Uncle Zake Wa Kigoma Faster Subirini Muone
Ana Kaka Yake Alikuwa Askofu Pale Kasulu
Mpaka Akastafu
 
Mpango Atawaleta Uncle Zake Wa Kigoma Faster Subirini Muone
Ana Kaka Yake Alikuwa Askofu Pale Kasulu
Mpaka Akastafu

Awalete hata mashangazi, muhimu wawe wenye uwezo , wakweli na wachapakazi, vyenginevyo wote watakuwa ni wale wale mataga
 
Mabadiliko makubwa bunge mubashara limerudi baada ya miaka karibu Sita , magazeti yamechangamka kama zamani
Mijadala kwenye tv imerudi kama kawaida
Mwanzo mzuri sana
Tumwombee ulinzi wa Mungu raisi wetu mpya
Kwenye demokrasia, haki na uhuru maendeleo ni makubwa
 
Mi nashukuru Makamu wa Raisi hatoki kanda ya ziwa,

Maana Ngoshas walikuwa wanaringa sana,hapa uraisi,Kingwangala,Mpina,Makamba,watausikia kwenye bomba tu.
 
Mchumi. Philip Mpango kwa kuteuliwa nafasi nyeti sana,
Nakukabidhi mkasi ili uanze kufungua majengo na kufunga makongamano huku ukianzakufuatilia utunzaji wa Mazingira nchini.

images (6).jpg
 
Hakuna cha kazi ni Ile Ile msijipe moyo. Your dear Chato husband is gone. FOREVER. Na uzuri JF hamna kubadili username si mlizani atakaa milele. Mtaita maji mma.

This is another man's show. Hakuna tena kulipwa buku saba kutroll watu mitandaoni.
sikuizi hawabadili user name. wanafungua new id wakiona wamezidiwa.
 
Jamani tuseme nini?Bajeti yeye,ubadhirifu wa pesa ATCL,Bandari,kubambikwa wafanyabiashara makodi yasio halali,shilingi kudondoka,maisha magumu,mishahara haikuongezwa miaka 6 sasa,wengine kutuhumiwa kuiba mabilioni.mengi yanahusu ubadhirifu wa pesa.lakini watu wanapanda vyeo hadi leo.Mwenyezi Mungu Mkubwa Daima.
 
Dr. Mpango ni mtu wa action zaidi, hasa akipewa uhuru wa kuact. Wana CCM wezi atawadhibiti tu, as long as Samia anampa baraka zake.

Sasa wamchomoe PM na kuweka mtu smart na mkali zaidi
PM awe Dr Doroth Gwajima uone moto utakavyowaka huko Serikalini, watakoma hata kuomba mshahara uongezwe Mei mosi. 😀 😀 😀 😀😀
 
you sounds like veronica hahaha
sorry i dont care watakamatwa or not. watajuana wenyewe huko.
In short huyo Verinica ni kundi lingine lenye nguvu ndani ya CCM.
Watanzania ni wepesi wa kusahau, 2014 tulikuwa na mchakato wa katiba mpya waliohakikisha hatupati katiba mpya ni Kikwete na Membe na akina Makamba. Baadae tukapata Rais Magufuli cha ajabu Magufuli aliwaleta kwenye serikali yake wale waliokuwa wanataka katiba mpya waliopingwa na Wafuasi wa kikwete.

Magufuli alikuwa ana nia ya dhati ya kuiletea maendeleo hii nchi, na jambo la kwanza alilolipigania ni Kuvunja makundi ndani ya CCM na kuwapa nafasi watu wakawaida kabisa.

Ila Humans are selfish wakaosepa na maisha yake
 
Back
Top Bottom