Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango Atawaleta Uncle Zake Wa Kigoma Faster Subirini Muone
Ana Kaka Yake Alikuwa Askofu Pale Kasulu
Mpaka Akastafu
Mburahati kachafukwa huko tweeter,katengua kumuunga mkono B mkubwa,kisa VP akutokea team Msoga.Kwani Mburahati anasemaje?
Badili id yako,Kisha utubu kwa unafiki.Wewe ni nani kwenye saccos? Wenye saccos wanachukua wewe baki kutoa mapovu kwenye mitandao ya kijamii tu.
Soon tutafungua kiwanda cha kusindika maweze East Africa hahahahahaahaha KiGOMA MOJA hioooooooooooooJambo jema. Mzee Mpango Mshauri mama vizuri
sikuizi hawabadili user name. wanafungua new id wakiona wamezidiwa.Hakuna cha kazi ni Ile Ile msijipe moyo. Your dear Chato husband is gone. FOREVER. Na uzuri JF hamna kubadili username si mlizani atakaa milele. Mtaita maji mma.
This is another man's show. Hakuna tena kulipwa buku saba kutroll watu mitandaoni.
PM awe Dr Doroth Gwajima uone moto utakavyowaka huko Serikalini, watakoma hata kuomba mshahara uongezwe Mei mosi. 😀 😀 😀 😀😀Dr. Mpango ni mtu wa action zaidi, hasa akipewa uhuru wa kuact. Wana CCM wezi atawadhibiti tu, as long as Samia anampa baraka zake.
Sasa wamchomoe PM na kuweka mtu smart na mkali zaidi
In short huyo Verinica ni kundi lingine lenye nguvu ndani ya CCM.you sounds like veronica hahaha
sorry i dont care watakamatwa or not. watajuana wenyewe huko.
Maiti inaongozaje? Aje yule mlemavu anaevaa high heelsHapana, ile maiti iliokufa kwa Covid hivi karibuni.