pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,760
- 3,324
Umenena haswa!!!Anaondolewa Hazina kiakili sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena haswa!!!Anaondolewa Hazina kiakili sana
Hakuna chumia tumbo kuliko maccmKabisa mkuu.
Wanajua yupo kwa ajili yao kumbe msaka tonge tu.
Basi kama ni hivyo hao walionyongwa washakufa [emoji2957]Eti wanyonge si Ni watu walionyongwa!? Nimewaza tu! Na Ni nani anewanyonga.
Nina wasi wasi hajui wajibu wake. Anayepaswa kusema, kuahidi na kutoa mambo kama hayo ni bosi wake yaani bi mkubwa SSH. Vinginevyo akitaka kujifanya naye yumo atabwagwa. Mara nyingine marais wengi wanapenda kuteua watu ambao hawawezi kuwafunika kwa umaarufu.Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Wote wamechaguliwa kukamilisha ilani ya CCM, wanajuana toka serikali ya Magufuli, wanaongea sana kwenye vikao vyao na privately, kwa hiyo ni sawa.Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Kama hana mke nijisogeze [emoji4]
na nakumbuka atcl walitoa gawio.takriban kama 28b.Kuna mkutano fulani yeye mwenye nchi alitujulisha kupitia mkutano huo kuwa tayari ATCL ilishaanza kupata faida, nipo tayari kukosolewa
Ni kweli na ndiyo maana hawafurukuti, ni marehemu.Basi kama ni hivyo hao walionyongwa washakufa [emoji2957]
Wote wamechaguliwa kukamilisha ilani ya CCM, wanajuana toka serikali ya Magufuli, wanaongea sana kwenye vikao vyao na privately, kwa hiyo ni sawa.
Ni hivi, viongozi wote wa CCM wanatakiwa kufuata ilani ya CCM, hawatakiwi kufuata mtu.Sio sawa. Ikizingatiwa pia inayoonekana machoni ni kwamba hakufahumu uteuzi huu (hata kama alizungumza kuhusu uteuzi huu na Rais) mpaka jina lake lilipotangazwa na kupigiwa kura - ingetosha kushuku uteuzi, kuaga bunge na kuahidi kushirikiana na vyombo vyote!! Kuanza kuzungumza mambo ambayo serikali itafanya ni sawa. Direction serikali itafuata huongozwa na Rais. Angempa Rais nafasi ya kutoa mwelekeo atakapolihutubia Bunge.
Dr. Mpango amekosa protokali tu. Lakini atajifunza kadiri muda utakavokwenda.
Mie sijui tukoje kwenye lindi baya la umasikia wakati ni juzijuzi tu hapa alikuwa kinara wa kusema tumetoka uchumi wa chini na kuja wa kati! Au ilikuwa ni hadaa na propaganda???
Leo nimekuwa na matumaini mapya serikali ya mpango itaajiri wengi kwenye kada mbalimbali,, tuseme hapana kwenye serikali ya kubana matumizi
Na pia anasahau kuwa jukumu lake kubwa ni kukata tepe kuzindua shuhuli mbali-mbali.Naona tunajisahau kama mpango ni makamu wa rais na wala rais..
And me no how i wonder, the guy his to bid faerawell for his companions parliement. People dont know anythingHajahutubia Mkuu..
Ameliaga tuu bunge Chief
Ndo maana amesema atalimiss sana bunge!..sasa ulitaka aondoke kimya kimya ilihali wameshirikiana wote kule Bungeni kwa kipindi chote? How?