Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Nina wasi wasi hajui wajibu wake. Anayepaswa kusema, kuahidi na kutoa mambo kama hayo ni bosi wake yaani bi mkubwa SSH. Vinginevyo akitaka kujifanya naye yumo atabwagwa. Mara nyingine marais wengi wanapenda kuteua watu ambao hawawezi kuwafunika kwa umaarufu.
 
Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Wote wamechaguliwa kukamilisha ilani ya CCM, wanajuana toka serikali ya Magufuli, wanaongea sana kwenye vikao vyao na privately, kwa hiyo ni sawa.
 
Kuna mkutano fulani yeye mwenye nchi alitujulisha kupitia mkutano huo kuwa tayari ATCL ilishaanza kupata faida, nipo tayari kukosolewa
na nakumbuka atcl walitoa gawio.takriban kama 28b.
my question ile ilikuwa hoax.
campain? ama smoke screen kufurahisha legacy yake?
kwa maana yoyote ile alidanganya, evn though naamini ukweli aliujua.
 
Basi kama ni hivyo hao walionyongwa washakufa [emoji2957]
Ni kweli na ndiyo maana hawafurukuti, ni marehemu.

Jomo Kenyatta aliwahi kusema yeye Kenya anaongoza wagonjwa walioko ICU lakini Tz Nyerere anaongoza marehemu.
 
Wote wamechaguliwa kukamilisha ilani ya CCM, wanajuana toka serikali ya Magufuli, wanaongea sana kwenye vikao vyao na privately, kwa hiyo ni sawa.

Sio sawa. Ikizingatiwa pia inayoonekana machoni ni kwamba hakufahumu uteuzi huu (hata kama alizungumza kuhusu uteuzi huu na Rais) mpaka jina lake lilipotangazwa na kupigiwa kura - ingetosha kushuku uteuzi, kuaga bunge na kuahidi kushirikiana na vyombo vyote!! Kuanza kuzungumza mambo ambayo serikali itafanya ni sawa. Direction serikali itafuata huongozwa na Rais. Angempa Rais nafasi ya kutoa mwelekeo atakapolihutubia Bunge.

Dr. Mpango amekosa protokali tu. Lakini atajifunza kadiri muda utakavokwenda.

Mie sijui tukoje kwenye lindi baya la umasikia wakati ni juzijuzi tu hapa alikuwa kinara wa kusema tumetoka uchumi wa chini na kuja wa kati! Au ilikuwa ni hadaa na propaganda???
 
Ni hivi, viongozi wote wa CCM wanatakiwa kufuata ilani ya CCM, hawatakiwi kufuata mtu.

Huyo Dr. Mpango kashawahi kumkatalia mambo Dr. Magufuli, wakati Dr. Magufuli akiwa rais.
Akampa sababu zake Dr. Magufuli. Dr. Magufuli akamuelewa.

Kwa hiyo si kweli kwamba msaidizi wa rais anatakiwa kufuata yote ya rais.

Kwa hiyo, as long as Dr. Mpango anaijua ilani ya CCM, na kasema mambo ambayo yamo katika ilani ya CCM, hakuna kibaya hapo.

Kwa sababu hata rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza ilani ya CCM.

Tatizo mnaangalia watu, badala ya kuangalia sera. Mmezoea siasa zile za "rais ndiye star, wengine wote wawe kimya kama supporting acts, wao kazi yao kuimba chorus tu".

Sasa alichokisema Dr. Mpango ambacho kipo nje ya ilani ya CCM ni kipi?
 
Hajahutubia Mkuu..

Ameliaga tuu bunge Chief

Ndo maana amesema atalimiss sana bunge!..sasa ulitaka aondoke kimya kimya ilihali wameshirikiana wote kule Bungeni kwa kipindi chote? How?
And me no how i wonder, the guy his to bid faerawell for his companions parliement. People dont know anything
 
Back
Top Bottom