Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Hivi kwa akili zenu miaka hii 4 mnadhani raisi Samia ataahidi nini zaidi ya kutekeleza tu miradi iliyoachwa!!?..mama samia ili aweze kufaulu inabidi anate mulemule walipokuwa na mzee pombe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba yetu hairuhusu hivyo unavyotaka, Rais kwa mujibu wa katiba yetu ni kila kitu na hakuna chombo kinachoweza kumpangia cha kufanya wala cha kusema. Alichofanya Mh. Mpango kama angekuwa amenfanyia JPM hivyo sasa hivi tungekuwa tunaongea habari nyingine. Kama unadhani katiba inatakiwa iruhusu hivyo huna budi kuibadilisha kwanza ili iruhusu hiko.Wewe unatetea udikteta na mfumo wa kumfuata mtu mmoja.
Mimi natetea mfumo wa utawala wa sheria, kufuata ilani na sera.
Ndiyo tofauti yangu na wewe.
Hatuwezi kuelewana.
I am enlightened. You are still in the dark ages.
Mama anateua watu watakamsaidia kuchapa kazi kwa weledi na kwa ufasahaaPia naomba mama awateue pia Maria Sarungi pamoja na Fatuma Karume kwenye baraza lake la mawaziri.
hatakiwi atekeleze maono ya Magufuli bali anatakiwa akatekeleze maono ya Rais SSH, lazima watu tuelewane hapo maana enzi za nyerere, mwinyi, mkapa, kikwete na magufuli zimeshapita, sasa tunae Rais mwingine. Inatia kichefuchefu kama vichwani bado watu wanaongelea Rais JPM.Amenikera Sana aliposema atatekeleza maono ya Magufuli. Kwa mtu ambaye ni bingwa wa uchumi maono ya Magufuli hayana mpangilio.
Lissu ndiyo kula yake hiyo, hana uchungu na NchiKama ilivyokuwa 2015 kwa JPM, sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni Rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.
Godbless Lema, Tundu Lissu hawazungumzii kabisa maendeleo ya Chadema, wao ni bize kumpangia cha kufanya Rais Samia.!
Tundu Lissu ni kaimu mwenyekiti wa Chadema lakini hutakaa usikie akiiongelea wala kuitangaza Chadema popote. Kwani haoni kaimu mwenyekiti wa CCM Philip Mangula anavyokinadi chama chake?
Tundu Lissu ni mtanzania lakini hutakaa usikie popote akizungumzia mazuri ya nchi yake, yeye ni kuchafua tu nchi yake.
Lengo la wapinzani hasa wa huko twitta ni kumuingiza chaka Rais.Kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM, sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni Rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.
Godbless Lema, Tundu Lissu hawazungumzii kabisa maendeleo ya Chadema, wao ni bize kumpangia cha kufanya Rais Samia.!
Tundu Lissu ni kaimu mwenyekiti wa Chadema lakini hutakaa usikie akiiongelea wala kuitangaza Chadema popote. Kwani haoni kaimu mwenyekiti wa CCM Philip Mangula anavyokinadi chama chake?
Tundu Lissu ni mtanzania lakini hutakaa usikie popote akizungumzia mazuri ya nchi yake, yeye ni kuchafua tu nchi yake.
akipita mulemule mwa JPM itamlazimu pia kuwa na uchaguzi kama wa 2020 kwenye uchaguzi ujao 2025.Hivi kwa akili zenu miaka hii 4 mnadhani raisi Samia ataahidi nini zaidi ya kutekeleza tu miradi iliyoachwa!!?..mama samia ili aweze kufaulu inabidi anate mulemule walipokuwa na mzee pombe..
hakuna anayesema Mh. Mpango hafai, ila tunahoji alichofanya kati ya jina lake kutajwa na kuapishwa kwake basi na sio kingine. Lakini watu wasidhani kuwa Rais Samia hana anachojua kuhusu mambo yalivyokuwa yakiendeshwa na JPM, usifikirie kuwa yooooote ya JPM yalikuwa yakimfurahisha, usifikirie yeye halijui baya na zuri kwa taifa na wananchi wa ngazi zote. Asitokee mtu anataka kumpima mama Samia kwa kutumia JPM. Mfano, ripoti ya CAG inasema shirika la ndege linaingiza hasara ya 6b kila mwaka, kwahiyo mnataka mama Samia afanye nini kwenye shirika kama hili? lazima kuna namna tofauti atafanya kuliko alivyofanya mtangulizi wake. Hizi ni sawa hata askari waliostaafu wasilipwe mafao yao kwakuwa tunataka kujenga uwanja wa mpira Dodoma? lazima kuna mambo ataachana nayo kama sio kuyapunguzia kasima.Lengo la wapinzani hasa wa huko twitta ni kumuingiza chaka Rais.
Mwanzoni walikuwa wanalaumu kuwa Rais atamteua Nchimbi kuwa nakamo baada ya ubashiri wao kutotimia na Dr Mpango kuteuliwa wanamlaumu Rais na kudai heri Nchimbi kuliko Mpango. Huu ni utnibitisho mmojawapo kuwa hao wapinzani hawana nia njema na Rais na wana lengo la kumyumbisha.
Ni wazi Rais alikuwa anayo kichwani mwake majina kadhaa lakini kwa kuwa amejinyenyekeza mbele ya Mungu na watanzania wengi wanamuombea, nwenyezi Mungu amemsaidia kupata mtu sahihi zaidi Dr Mpango.
Wapinzani wanataka Rais afuate maelekezo yao namna ya kuongoza nchi badala ya kutekeleza maelekezo ya chama chake!
Dr Mpango ndiye aliyesimamia utengenezaji wa long term perspective plan wa miaka 15 ( 2011-2025) ambao ulivunjwavunjwa katika mipango mitatu ya miaka mitano mitano na amesimamia utekelezaji wa mipango miwili tayari na sasa alikuwa anasimamia mpango wa tatu na wa mwisho ambao ndio unaanza mwaka huu. Yeye atamsaidia sana Rais kukamilisha miradi yote inayoendelea kutekelezwa.
Sija wahi mwona Nyerere akivaa nguo zao za kijani sijui kwanini.....Ukiingia kwenye siasa, Ph.D unaweka pembeni.
Maneno mengine ni kwa "public consumption" zaidi.
Mpango ni bureaucrat, si mwanasiasa, labda ana overcompensate.
Huyo Nyerere mwenyewe aliyeianzisha CCM alisema CCM si mama yake, ikimzingua anaiacha.
Hivi akitenguliwa saivi, atarudi kuwa Mbunge? Nahisi katiba iko kimya kwenye haka ka-kona!Alipaswa aseme ataongea zaidi baada ya uapisho
Vipi Kama Rais akiamua Leo usiku kubatilisha uteuzi wake kwa sababu fulani fulani.
Unless wawe washaongea
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Wote wamechaguliwa kukamilisha ilani ya CCM, wanajuana toka serikali ya Magufuli, wanaongea sana kwenye vikao vyao na privately, kwa hiyo ni sawa.
Anajipanga 25 aje kivingineMpango saivi kazi yake ni kutembea na mkasi ili kukata tepe za zinduzi za majengo mbalimbali!
Anatumia twita mcheki moja kwa mojaMwambieni Madame President afute zile tozo za Youtube na afanye mpango wa Paypal vijana tujiajiri