Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mi kwangu twita haifungukiAnatumia twita mcheki moja kwa moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi kwangu twita haifungukiAnatumia twita mcheki moja kwa moja
Afya inaruhusu lakini?Anajipanga 25 aje kivingine
Hata baba wa taifa ambae ndiye mwenye CCM yake aliwahi kusema CCM sio baba yangu wala mama yangu naweza kutoka, sembuse yeye. Jamani tujifunze kuweka akiba ya maneno, iko siku itatufaa pasipo kutarajiaNilimshangaa aliposema " Nitakuwa mwana CCM hadi mwisho wa maisha yangu" hii kauli haikutakiwa kutolewa na mtu mwenye PhD
Kuliaga bunge unasema maneno machache tu na siyo hotuba ndefu kama ile halafu mwisho akaboronga. Eti hakupendezwa na wapinzani kupinga bajeti yake. hapo alikuwa anatoa ujumbe gani kwa Taifa? mwanaCCM ni MwanaCCM tu. Wameambukizana chuki za kisiasa zisizo na tija yoyote.Hajahutubia Mkuu..
Ameliaga tuu bunge Chief
Ndio maana amesema atalimiss sana bunge!..sasa ulitaka aondoke kimya kimya ilihali wameshirikiana wote kule Bungeni kwa kipindi chote? How?
Hahahah sawa Mkuu...Kuliaga bunge unasema maneno machache tu na siyo hotuba ndefu kama ile halafu mwisho akaboronga. Eti hakupendezwa na wapinzani kupinga bajeti yake. hapo alikuwa anatoa ujumbe gani kwa Taifa? mwanaCCM ni MwanaCCM tu. Wameambukizana chuki za kisiasa zisizo na tija yoyote.
alichemka lakini pia ni kiwewe cha kutoamini kama angefikia ile postNilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Kikubwa ni dhamira alokuwa nayo katika taifa lake. sioni alipokosea kwenye kuongea pasina kujali kama ataangulia au lah.Alipaswa aseme ataongea zaidi baada ya uapisho
Vipi Kama Rais akiamua Leo usiku kubatilisha uteuzi wake kwa sababu fulani fulani.
Unless wawe washaongea
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hakuna anayekataa mtu mliyekuwa naye kukuaga. Tatizo kadiri unavyokuwa na maneno mengi utajikuta unaropoka hata ulichokuwa nacho moyoni kama siri. Hotuba ya Mpango ilikuwa nzuri sasa mwishoni akalikoroga, eti hakupenda na aliwashangaa wapinzani kupinga hotuba yake ya bajeti na eti wapinzani wahame tu vyama vyao wajiunge CCM na yeye atakuwa mwana CCM mpaka kufa. Hayo maneno ya mwisho yalikuwa na maana gani na akikuwa serious huku amekunja uso. Yeye kwa cheo kile siyo kwenda kuitumikia CCM bali Tanzania. Mengine ni ya kumezea tu . Wakati wote elewa kwamba siyo lazima kila mmoja akubaliane na wewe. Na hata waliopinga bajeti yake nakumbuka hoja yao ilikuwa ni kwa nini tunapitisha bajeti halafu inatekelezwa kwa 34% tu kwa kukosa fedha. Sasa si ni afadhali tupitisha bajeti ndogo inayotekelezeka kuliko hayo matrilioni ambayo hayana uhalisia. Eti ndio yeye aseme walinkwaza sana! na wasirudie tena.Hahahah sawa Mkuu...
Ila kwa tamaduni zetu za kiAfrika..sio jambo nzuri kuwakimbia wenyeji kimya kimya bila kuaga au kutoa hata neno la shukrani.
Sasa kama kuna mengine aliyasema na yakavunja taratibu zilizokuwepo nahisi kazidisha sasa tena kaboronga kabisa! na haifai
Tatizo wewe hukumsikiliza vizuri. Kuoga kwa wenzake sawa. Sasa lile na kusema wapinzani walimkwaza kwa kukataa bajeti yake lilikuwa na ulazima gani kuliongea? Halafu eti haoni sababu ya kuwepo upinzani na wapinzani wanatakiwa waondoke kwenye vyama vyao wahamie CCM na wasiwe wanapinga bajeti za serikali. Ujinga huu haukuwa na ulazima wowote.Kikubwa ni dhamira alokuwa nayo katika taifa lake. sioni alipokosea kwenye kuongea pasina kujali kama ataangulia au lah.
Nasepa😎
Io aliitoa muda gani mkuu??? mana mimi nilisikiliza maelezo yake. anyway kama aliongea hivo (kuukataa upinzani) basi alikosea hakutakiwa kuiorodhesha upinzani in negative. the rest dhamira ya kuipambania taifa ilikuwa sahihi tu.Tatizo wewe hukumsikiliza vizuri. Kuoga kwa wenzake sawa. Sasa lile na kusema wapinzani walimkwaza kwa kukataa bajeti yake lilikuwa na ulazima gani kuliongea? Halafu eti haoni sababu ya kuwepo upinzani na wapinzani wanatakiwa waondoke kwenye vyama vyao wahamie CCM na wasiwe wanapinga bajeti za serikali. Ujinga huu haukuwa na ulazima wowote.
Hahah...CCM ASILI kwisha habari Yao.
Hahah...
Kazi wameipata kweli kweli
Kama ulimsikiliza alisemaje juu ya upinzani? Angalia hata Gazeti la Mwanachi la leo 31/013/2021 ukurasa wa kwanza. Au huwa hujui namna ya kumsikiliza msemaji. Usiwe unachati wakati unasikiliza hotuba muhimu.Io aliitoa muda gani mkuu??? mana mimi nilisikiliza maelezo yake. anyway kama aliongea hivo (kuukataa upinzani) basi alikosea hakutakiwa kuiorodhesha upinzani in negative. the rest dhamira ya kuipambania taifa ilikuwa sahihi tu.
aache kauli ya watanzania wanyonge, hili lilikuwa kichaka cha meko kutunyonyaNilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
sijui atafanya nini kama boss wake atachukua mkondo tofauti dhidi ya wapinzani na upinzani nchini. Angesubiri basi japo kidogo ili aone muelekeo wa boss wake kabla ya kuanza kutoa misimamo na maazimio yake hata kabla ya kura kuhesabiwa wala kuapishwa.Hakuna anayekataa mtu mliyekuwa naye kukuaga. Tatizo kadiri unavyokuwa na maneno mengi utajikuta unaropoka hata ulichokuwa nacho moyoni kama siri. Hotuba ya Mpango ilikuwa nzuri sasa mwishoni akalikoroga, eti hakupenda na aliwashangaa wapinzani kupinga hotuba yake ya bajeti na eti wapinzani wahame tu vyama vyao wajiunge CCM na yeye atakuwa mwana CCM mpaka kufa. Hayo maneno ya mwisho yalikuwa na maana gani na akikuwa serious huku amekunja uso. Yeye kwa cheo kile siyo kwenda kuitumikia CCM bali Tanzania. Mengine ni ya kumezea tu . Wakati wote elewa kwamba siyo lazima kila mmoja akubaliane na wewe. Na hata waliopinga bajeti yake nakumbuka hoja yao ilikuwa ni kwa nini tunapitisha bajeti halafu inatekelezwa kwa 34% tu kwa kukosa fedha. Sasa si ni afadhali tupitisha bajeti ndogo inayotekelezeka kuliko hayo matrilioni ambayo hayana uhalisia. Eti ndio yeye aseme walinkwaza sana! na wasirudie tena.
Kama wewe una uchungu na nchi, nenda Labour ward ukajifungueLissu ndiyo kula yake hiyo, hana uchungu na Nchi