Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Wapenda amani
SALAÀM!
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?