Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa sioo kabisa
Lissu kiukweli ana mdomo mchafu sana, inahitaji moyo wa subra kweli Kwa kiongozi wa nchi. Maneno yake mengine sio ya kistaarabu hata kidogo na sidhani kama Kwa maneno yale ndiyo anajijenga kisiasa.Wapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Nitatishika ila sababu hasa ya kutishika itakuwa siyo yeye, itakuwa ni mimi mwenyewe.Mkuu,
Kwa hiyo jambazi akikutolea bastola anakutisha kukuua, wewe hutishiki?
Ili kumkomesha Lissu mumjibu hoja zake kwa jinsi anavyozileta vinginevyo mtajuta na bado.Wapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Heshima ya kweli inatoka kwa Mungu sio binadam, lissu ni mwana wa Mungu haitaji heshima toka kwa binadamWapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Kwa hiyo mnataka muuze nchi muimalize kimya kimya msisemweWapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Kutishika ukitishiwa ni kitu natural. Ni akili. Ukitishiwa halafu usitishike si ujanja, ni ujinga.Nitatishika ila sababu hasa ya kutishika itakuwa siyo yeye, itakuwa ni mimi mwenyewe.
Ni kwa sababu the same jambazi anaweza akamtishia mtu mwingine na kwa bastola hiyo hiyo halafu mtu huyo asitishike
Sill, exceptions zinaweza kuwepo; kwenye emergence; kwenye matukio ambayo si ya kawaida
Msimjaze upupu, kesho huenda akayakana maneno yake - awasilishe hoja kwa watanzania siyo kutukana, kudhihaki na kukashfu kiti cha RaisIli kumkomesha Lissu mumjibu hoja zake kwa jinsi anavyozileta vinginevyo mtajuta na bado.