SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Umeona eh.Ata mimi sometimes namuona kama LISSU ni mzinguaji
Ndivyo alivyo. Kabla hata ya Hayat Rais John Pombe Magufuli, alikuwa hivyo hivyo. Waulize ilboru boys Pascal Mayalla.
===============
Na kwa msingi huo, haijalishi kama kulikuwa na ukandamizaji(propaganda ya kizushi) nyakati fupi zilizopita.
Halafu CHADEMA mnamtaka aje kuwa Raisi wa Nchi yetu tulivu.
Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani
Mbula