Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Kama vipi amfukuze.Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje
Umesahau namba ya simu, utateuliwa vipi sasa?Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Acha kupotosha usitufanye sote wajinga huyu Mama juzi juzi tu katukatalia KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI.hajui kukandamiza haki za kiraia
Huyu chura tumepigwa na kitu kizito. Anakaa kimya kwasabb kichwani ni mweupe kuliko theluji.Kwani mama ana haja ya kumjibu basi?
Sawa huyo chura tunamjua twende nae. Hatutaki chura wapyaHuyu chura tumepigwa na kitu kizito. Anakaa kimya kwasabb kichwani ni mweupe kuliko theluji.
Minne inatosha. (Kwa sauti ya Lisu).Sawa huyo chura tunamjua twende nae. Hatutaki chura wapya
Kakuambia anagombea nn mpaka umpe kura?Kwani mama ana haja ya kumjibu basi?
Nani ampe kura lissu?? No one labda mapoyoyo wenzake he is a nobody hana akili and so far he is a traitor!
Tunaongozwaje na mtu eti kidogo tu anatusemelea kwa yule mzungu wake😂
He is a victorView attachment 3015916
Jemadari Tundu Antipas Lissu 2025
🫡🫡✌️✌️✌️
SPANA! SPANA! SPANA! SPANA! SPANA! mpaka kieleweke😁
Chura karibia ataongea tu😁He is a victor
Inawezekana ID fake hizihuyu sio Lucas Mwashambwa kwwli?