SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Umeona eh.Ata mimi sometimes namuona kama LISSU ni mzinguaji
Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani
Chuki haitakufikisha popote NduguWapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Tutashukuru ukitupa linkSamia kasema Watanzania wakimpigia kura au wasipompigia kura ana uhakika wa kushinda uchaguzi.
Kauli hii ni ya dharau kwa Watanzania wote.
Wewe unajiheshimu?Wapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Jiongelee mwenyewe.Kwani mama ana haja ya kumjibu basi?
Nani ampe kura lissu?? No one labda mapoyoyo wenzake he is a nobody hana akili and so far he is a traitor!
Tunaongozwaje na mtu eti kidogo tu anatusemelea kwa yule mzungu wake😂
Hana Cha kujibu, maana anachoongea Lissu ni kweli.Kwani mama ana haja ya kumjibu basi?
Nani ampe kura lissu?? No one labda mapoyoyo wenzake he is a nobody hana akili and so far he is a traitor!
Tunaongozwaje na mtu eti kidogo tu anatusemelea kwa yule mzungu wake😂
Chura ni mmoja tu. Kajitangaza mwenyewe.Sawa huyo chura tunamjua twende nae. Hatutaki chura wapya
Wapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Kwani mama ana haja ya kumjibu basi?
Nani ampe kura lissu?? No one labda mapoyoyo wenzake he is a nobody hana akili and so far he is a traitor!
Tunaongozwaje na mtu eti kidogo tu anatusemelea kwa yule mzungu wake[emoji23]
Lissu ni kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.Wapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Wewe Kwa akili Yako huyo mtu ana akili au unaona ni mzima upstair?Wapenda amani
SALAÀM!
- Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:-
- Mbn Lissu anatukana sana?
- Mbn Lissu anadhihaki sana?
- Mbn Lissu anakera sana?
- Mbn Lissu anachokoza sana?
Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha, kamlipa fedha zake za ubunge, kamfutia kesi, kamruhusu kufanya mikutano ya kisiasa kokote nchini - lkn sasa why CDM wanaendesha siasa za matusi dhidi ya kiongozi wa nchi yetu?!!!!!?
Ushauri:-
CCM kwa nguvu zake wakiamuka kuwajibu CDM kitakachotokea ni CDM kukimbilia Ubeligiji, Canada, UK nk nk.
Hatushindwi
Ngaika Ndenda
(Kakonko)
Huyu jamaa mzima kweli?Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje alikojificha
Kwahiyo anavyojizurulisha kuupepeta mdomo ni ili iweje? Basi mna kiongozi mbea!Kakuambia anagombea nn mpaka umpe kura?
Nimewaongelea na mapoyoyo wengine😂Jiongelee mwenyewe.
Akili unaidadavuaje? Hatutaki mtu ambae akiskia ndege ya TANZANIA imeshikwa nje ye anashangilia. Huyo sio mzalendo. Hizo akili zake zingemsaidia atafute kazi ya kufanya maana siasa na majungu haviendani. Mwanaume mmbea anapita kulala mika kutwa ye si wakili afanye uwakili basi maana urais hapati!Hivi wewe ambaye kwa andiko lako hili, ni dhahiri una uwezo mdogo wa akili, unaweza kujilinganisha na Lisu katika jambo gani la maana?
Mwenzako hata wanasheria wote walidhihirisha Lisu ndiye walimwona mwenye akili ya kuwaongoza, atalinganishwa na wewe ambaye huweza kuchaguliwa hata kuwa mwenyekiti wa kamati ya arusi?