Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan anamheshimu Lissu, why Lissu hajiheshimu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Smtz Lissu anazingua,ni aina ya watu wanaojiona wako perfect 100%
Halafu,hapendi kuchagua maneno anapowasilisha jambo.
 
Natamanii sana upinzani ushindee,lakini sioni chama kilichokamilika kushika nchi wahuni mtupuuu.Bora tuendelee....
 
Lissu kiukweli ana mdomo mchafu sana, inahitaji moyo wa subra kweli Kwa kiongozi wa nchi. Maneno yake mengine sio ya kistaarabu hata kidogo na sidhani kama Kwa maneno yale ndiyo anajijenga kisiasa.

Kwa kutumia maneno ya kistaarabu tu anaweza akatuonesha mapungufu ya rais wetu na serikali Kwa ujumla. Binafsi navutiwa na siasa ya kunadi sera yako na kuonesha mapungufu ya mwenzako Kwa lugha ya kistaarabu
 
Mkuu,

Kwa hiyo jambazi akikutolea bastola anakutisha kukuua, wewe hutishiki?
Nitatishika ila sababu hasa ya kutishika itakuwa siyo yeye, itakuwa ni mimi mwenyewe.
Ni kwa sababu the same jambazi anaweza akamtishia mtu mwingine na kwa bastola hiyo hiyo halafu mtu huyo asitishike
Sill, exceptions zinaweza kuwepo; kwenye emergence; kwenye matukio ambayo si ya kawaida
 
Ili kumkomesha Lissu mumjibu hoja zake kwa jinsi anavyozileta vinginevyo mtajuta na bado.
 
Heshima ya kweli inatoka kwa Mungu sio binadam, lissu ni mwana wa Mungu haitaji heshima toka kwa binadam
 
Kwa hiyo mnataka muuze nchi muimalize kimya kimya msisemwe

Uhuru wa kufanya siasa ni hongo,
Kwa hiyo mnaamini nyie ndo wenye nchi

ngoja siku Yaja mtalia na kusaga meno
 
Kutishika ukitishiwa ni kitu natural. Ni akili. Ukitishiwa halafu usitishike si ujanja, ni ujinga.

Ingekuwa watu hawatishiki wakitishiwa tusingekuwapo hapa.
 
Ili kumkomesha Lissu mumjibu hoja zake kwa jinsi anavyozileta vinginevyo mtajuta na bado.
Msimjaze upupu, kesho huenda akayakana maneno yake - awasilishe hoja kwa watanzania siyo kutukana, kudhihaki na kukashfu kiti cha Rais
 
Kwa sababu ni mhuni, msomi uchwara (msomi wa kweli ana heshima), hakulelewa vizuri. Hata miye niliyekuwa namsapoti nimempiga block. Siasa si ugomvi na kutukana, bali ni nguvu ya hoja. Lissu ana 'Alice in the wonderland syndrome'....kama utafahamu what I mean!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…