evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Katiba imemtamka yeye tu endapo inapotokea Rais amefariki.Ni tafsiri mbovu hiyo na ni upindishaji wa katiba. Kama serikali yote ilikufa na Magufuli, basi hata Samia Suluhu asingekuwa Makamu wa rais tena.
Nafasi ambazo hazikuongelewa na katiba wakati ikitokea rais akifariki ni "status quo." Katiba iinaelekeza namna ya kujaza nafsi ya Rais na ya makamu wa rais, nafasi nyingine zote zineandelea kama ilivyokuwa --status quo .Katiba imemtamka yeye tu endapo inapotokea Rais amefariki
Wengine outomaticaly nafasi zao zinaceaze Mara tu Rais mteule anapoapishwa mbona hili suala lipo wazi na la kikatiba au labda Kama umezoea uvunjaji wa katiba aliokuwa anafanya marehemu jiwe, au wewe ni mmoja wa hao mawaziri wa jiwe ambao Sasa kikatiba sio Tena waziri, jiandae tu unaweza kuteuliwa Tena au usiteuliwe
kwani lazima uwe waziri wewe tu kila awamu?
Hakuna kitu Kama hicho embu taja kifungu Cha katiba kinachoeleza hivyoNafasi ambazo hazikuongelewa na katiba wakati ikitokea rais akifariki ni "status quo." Katiba iinaelekeza namna ya kujaza nafsi ya Rais na ya makamu wa rais, nafasi nyingine zote zineandelea kama ilivyokuwa --status quo .
Duh naona waathirika wa 'uamuzi' wowote atakao chukua Mh.Samia, wameshaanza kutetea kazi zao. Wenyewe si watulie tu, Mama yetu afanye kazi kulingana na sheria na katiba. Mungu Mbariki Rais wetu mpya wa Tanzania.Wairi anaapa kwa nani na waliopo wameapa kwa nani...
Nafikiri hujui maana ya "status quo" kwenye usomaji wa sheria.Hakuna kitu Kama hicho embu taja kifungu Cha katiba kinachoeleza hivyo
Duh naona waathirika wa 'uamuzi' wowote atakao chukua Mh.Samia, wameshaanza kutetea kazi zao. Wenyewe si watulie tu, Mama yetu afanye kazi kulingana na sheria na katiba. Mungu Mbariki Rais wetu mpya wa TanzaniaWairi anaapa kwa nani na waliopo wameapa kwa nani...
Nafahamu Sana wewe ndio unataka kulazimisha uongo wako.Nafikiri hujui maana ya "status quo" kwenye usomaji wa sheria.
Nimekujibu sehemu nyingie kuwa inaonyesha hujui maana ya phrase ya rais mteule, au kwa lugha za wenzetu president elect. tafuta maana hiyo kwanza ndipo uje tujadili katiba inasemaje.Nafahamu Sana wewe ndio unataka kulazimisha uongo wako
Katiba inaeleza wazi kwamba Mara Rais mteule anapoapa nafasi ya waziri mkuu inakoma
Sasa kwa taarifa yako Mara baada ya magufuli kufa SSH alibadilika kutoka makamu wa rais na kuwa Rais Mteule.
Rais mteule ndio anaapishwa kushika madaraka ya nchi hapo serikali inakuwa mpya
Umetulisha tango. Katika campaign tunaichangia mgombea mwenzangu. Maana ya mwenzangu imekuchenga, huyu naye alichaguliwa kama kilaka hivyo naye hadhi take Ni Rais.Nimekujibu sehemu nyingie kuwa inaonyesha hujui maana ya phrase ya rais mteule, au kwa lugha za wenzetu president elect. tafuta maana hiyo kwanza ndipo uje tujadili katiba inasemaje....
Ulichoongea ni porojo tupu, unapaswa kuongea kisomi with material facts. Ukisoma andiko la TLS lina mashiko. Mfano mdogo walioutoa ni pale Waziri anapobadilishwa Wizara na Rais aliyepo, huapishwa tena na fact zingine nyingi walizozitoa.Hawa TLS naona wanapuyanga tu!! Tatizo ukishajiona unajua sana mara zote lazima uharibu, hawa wanadhani sheria/katiba wanaijua sana kumbe wanapuyanga tu!...
Sijui sasa unasema nini.Umetulisha tango. Katika campaign tunaichangia mgombea mwenzangu. Maana ya mwenzangu imekuchenga, huyu naye alichaguliwa kama kilaka hivyo naye hadhi take Ni Rais. Ndio maana Rais Magufuri Marehemu aliwahi kusema anaweza fukuzq wotee lakini Samia Hana uwezo naye kufuatana Na katiba
Kwa sheria ipi? Au unatunga kutoka kichwani?TLS hawajui kitu baraza la mawaziri huendelea kuwepo na lipo hadi lingine litakapoteuliwa lini Insallah Mungu akipenda
Unadhani wote ni wabinafsi km wewe??.Maigizo kama maigizo mengine. Ni kujali tu sasa hivi maisha ya familia yako tu tena nuclear family.
Wamemkosea nini mkuu??Afanye mabadiliko makubwa hawa akina Mwigulu, Mkumbo sijui Gwajima afukuze mara moja
Pole,utasubiri sana.Nimeshapaki vyombo, nasubiri tangazo kurudi Dar. Samia mtu wa Pwani hataweza ishi na Wagogo
Wapo watu wanalipwa Miranda kwa kuwapigia debe kwa lolote lite sio maslahi ya Taifa na hasa nimegundua wengi ni wale wageni magumashi...Hao wanao wapigia kelele TLS, hawana lolote, zaidi ni hofu tu kuwa watu wao wanaowalinda wanaweza wasirudi..
NDIOUnadhani wote ni wabinafsi km wewe??.