Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Mei mosi itakuwa ni Saturday pia, save date na id yangu
 
Kafanye kazi. Mkaonyeshe uzalendo uliotukuka. Katekelezeni yale yaliyomo kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Sasa wewe ulitegemea aseme anatekeleza ilani ya chama gani??
Aendelee na utekelezaji ya ILANI ya CCM but in a very different way as compared to the late Makufuli Pombe, the fallen dictator.....!!!!
 
Kwa hio kipimo cha mji usio wa kichovu ni english breakfast?
Eeh, sasa wewe unafikiri sisi mabeberu tutakula nini tukienda kutembelea "makao makuu". Tunataka sehemu nzuri ya kula breakfast. Nyie watu wa kuja bwana! Yaani umeshaona kula English breakfast ni anasa! Hovyooo!
 
Wewe mpandisha mishahara nikikukamata utajuta, kumbe umo humuhumu Jf, Mimi member mwenzio umeniacha mwaka wasita huu sijapanda.
Hayati alipanga mwaka huu apandishe, mrithi pia anafata nyayo japo ye atatofautiana uzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…