Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Hangover ikikuisha utajua tupo awamu ya sita. Endelea kunywa maji kwa wingi itakusaidia.
Magufuli is dead. Let him remain dead. Usimsumbue.
 
Awamu sio ilani ya chama chochte awamu nikipindi cha raisi aliowekwa na katiba,hivo inayozaa awamu ni katiba na katiba ina itearm awamu Kama mtu(raisi) anaeongoza serikali hamna tafsiri kwamba awamu lazima iwe miaka mitano au kumi ila imeeleza kuwa raisi ataruhusiwa kushika miaka mitano ataingia Tena kwene uchaguzi na anaweza ruhusiwa kuendeleza mitano Tena....hivo katiba yetu imeeleza namna raisi atakavopatikana ni kwa uchaguzi au Kama alivoingia samia...hivo katiba hairudi nyuma inamtambua mtu,magufuli is gone awamu yake imeishia pale alipoishia, samia nae ni raisi mpya kwa nguvu ya katiba na sio kwa ilani ya ccm...
 
We ni zombi...
 
Mtu katumbuliwa na Mungu bado mnamsifu
Tundu lisu, ww hata ukijikwaa huko Imhotep utamtukana Magu! Utakoma sasa Mungu ameamua kumpumzisha na kumficha mbali na matukano yenu mfyuuuuuu 😑!
 
Tundu lisu, ww hata ukijikwaa huko Imhotep utamtukana Magu! Utakoma sasa Mungu ameamua kumpumzisha na kumficha mbali na matukano yenu mfyuuuuuu 😑!

Acha kuabudu mpaka marehemu wewe MATAGA usiye jielewa.
 

Kama unamaanisha mama Samia ajitathmini kwa kujitambua kuwa rais wa awamu ya sita utakuwa mburula kweri kweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
kuna tofauti kubwa kati ya kuongoza nchi na kuendesha bus hebu tafuta mfano hai.
Ndio huo sasa uliohai!
Ilani ni kufika Tandahimba ndani ya masaa 12 ni ileile, dereva Magu, utingo/dereva msaidizi Mama! Mechanic Majariwa! Dereva yamemkuta ya kumkuta rufiji, utingo kapewa usukani ili safari ileile uendelee! Abiria wanaanza kupata wasiwasi kama watafika salama, tena kwa muda! Maana dereva wao alikuwa anafukia mashimo usipime!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…