Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Kama unamaanisha mama Samia ajitathmini kwa kujitambua kuwa rais wa awamu ya sita utakuwa mburula kweri kweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Mnachamnganya ninyi mapopoma πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£! Samia ni rais wa 6 anayehudumu awamu ya 5 period πŸ˜‚!
 
Neno lenyewe awamu limekaa vibaya, tulipige chini. Nchi nyingi wanasema Rais wa Kwanza, watatu, watano nk. Kutumia awamu ni kujichanganya .
Sijui ndio translation ya regime?
 
Watu kama ninyi msiotaka kuwaacha wafu wapumzike ndio mnatujazia mizimu mtaani
 
Mnachamnganya ninyi mapopoma πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£! Samia ni rais wa 6 anayehudumu awamu ya 5 period πŸ˜‚!

Umesoma vizuri nilichoandika?

Ninanakazia:

"Kama unamaanisha mama Samia ajitathmini kwa kujitambua kuwa rais wa awamu ya sita utakuwa mburula kweri kweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!"

Kupisha tafrani hizi mama Samia na afanye kweli baada ya kupokea ile ripoti ya CAG kuhusiana na pesa BOT Jan - March.

Bila hivyo kumbe hata katelefoni atakuwa anadhani hii ni safari tu kama ya Tandahimba.

Hiiiiii bagosha!
 
Tundu lisu, ww hata ukijikwaa huko Imhotep utamtukana Magu! Utakoma sasa Mungu ameamua kumpumzisha na kumficha mbali na matukano yenu mfyuuuuuu 😑!

Tundu lisu, ww hata ukijikwaa huko Imhotep utamtukana Magu! Utakoma sasa Mungu ameamua kumpumzisha na kumficha mbali na matukano yenu mfyuuuuuu 😑!
Msitukumbushe bhana,huyo bora kafa
 
Umesoma vizuri nilichoandika?

Ninanakazia:

"Kama unamaanisha mama Samia ajitathmini kwa kujitambua kuwa rais wa awamu ya sita utakuwa mburula kweri kweri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!"

Kupisha tafrani hizi mama Samia na afanye kweli baada ya kupokea ile ripoti ya CAG kuhusiana na na BOT Jan - March.

Bila hivyo hata katelefoni anadhani hii ni safari tu kama ya kutokea Tandahimba.

Hiiiiii bagosha!
Shida hiyo report inaviashiria vyote vya kubumba, sina imani nayo!
 
Msikilize Mh.Samia mwenyewe siku alipotangaza mabadiliko madogo kwenye baraza la mawaziri.
Mislead! Kama anataka iwe hivyo, kuwa awamu ya sita basi turudi kwenye 'drawing board', uitishwe uchaguzi wa vyama vyote vya siasa wakiwa na ilani mpya, uone kivumbi wwπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£! Narudia tena, ni rais wa 6 anayehudumu ktk awamu ya 5!
 
Civics ni somo muhimu sana. Hii ni awamu ya tano. Awamu inabadilika pale kunapokua na uchaguzi mkuu na akachaguliwa Rais mwingine
 
Neno awamu linaendana na raisi wa ngapi kuwa madarakani. Nafikiri mtoa post utakuwa umeambulia kitu fulani japo ni kidogo
 
Civics ni somo muhimu sana. Hii ni awamu ya tano. Awamu inabadilika pale kunapokua na uchaguzi mkuu na akachaguliwa Rais mwingine
kama hivyo ndivyo, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni Rais wa Awamu ya ngapi? Na alichaguliwa kwa uchaguzi upi?
 
Mchepuko wa JPM unapata tabu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Back
Top Bottom