Mnachamnganya ninyi mapopoma ππ€£ππ€£ππ€£! Samia ni rais wa 6 anayehudumu awamu ya 5 period π!Kama unamaanisha mama Samia ajitathmini kwa kujitambua kuwa rais wa awamu ya sita utakuwa mburula kweri kweri ππππππππ!
Sijui ndio translation ya regime?Neno lenyewe awamu limekaa vibaya, tulipige chini. Nchi nyingi wanasema Rais wa Kwanza, watatu, watano nk. Kutumia awamu ni kujichanganya .
Mnachamnganya ninyi mapopoma ππ€£ππ€£ππ€£! Samia ni rais wa 6 anayehudumu awamu ya 5 period π!
Tundu lisu, ww hata ukijikwaa huko Imhotep utamtukana Magu! Utakoma sasa Mungu ameamua kumpumzisha na kumficha mbali na matukano yenu mfyuuuuuu π‘!
Msitukumbushe bhana,huyo bora kafaTundu lisu, ww hata ukijikwaa huko Imhotep utamtukana Magu! Utakoma sasa Mungu ameamua kumpumzisha na kumficha mbali na matukano yenu mfyuuuuuu π‘!
Shida hiyo report inaviashiria vyote vya kubumba, sina imani nayo!Umesoma vizuri nilichoandika?
Ninanakazia:
"Kama unamaanisha mama Samia ajitathmini kwa kujitambua kuwa rais wa awamu ya sita utakuwa mburula kweri kweri ππππππππ!"
Kupisha tafrani hizi mama Samia na afanye kweli baada ya kupokea ile ripoti ya CAG kuhusiana na na BOT Jan - March.
Bila hivyo hata katelefoni anadhani hii ni safari tu kama ya kutokea Tandahimba.
Hiiiiii bagosha!
Shida hiyo report inaviashiria vyote vya kubumba, sina imani nayo!
Mislead! Kama anataka iwe hivyo, kuwa awamu ya sita basi turudi kwenye 'drawing board', uitishwe uchaguzi wa vyama vyote vya siasa wakiwa na ilani mpya, uone kivumbi wwπ€£ππ€£! Narudia tena, ni rais wa 6 anayehudumu ktk awamu ya 5!Msikilize Mh.Samia mwenyewe siku alipotangaza mabadiliko madogo kwenye baraza la mawaziri.
Zipi hizo mkuu!Picha za ule mkutano wa jana zimetukwaza wengi. Ila wasitu underestimate.
We naye, ndio walewale mfyuuuuuu π‘!Awamu ya tano imeishia pale Magufuli alipokufa, hutaki acha
ukweli unaumaπZombi ww na vizazi vyako, siyo mimi bwasheππ€£π!
Nakubaliana na wewe,Rais wa 6 ktk awamu ya [emoji110] period!
kama hivyo ndivyo, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni Rais wa Awamu ya ngapi? Na alichaguliwa kwa uchaguzi upi?Civics ni somo muhimu sana. Hii ni awamu ya tano. Awamu inabadilika pale kunapokua na uchaguzi mkuu na akachaguliwa Rais mwingine
Hee! hahahahahahMtu katumbuliwa na Mungu bado mnamsifu