Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

Sukuma gang wanafeseka sana,
Wao walutaja eti rais aende kupatanisha kesi za wagombanao huko vijijini au mke na mume au wakukima na wafugaji?!
Huko aneweka watu wacheni mama atuwakilishe kimataifa ambapo palikufa kabisa
Hongera sana mama
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.

Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.

Katika ziara hiyo, Mhe. Rais Samia pamoja na mambo mengine anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake katika maeneo kadhaa ya ushirikiano kati ya Tanzania na Misri ikiwemo nyanja za
diplomasia, uchumi, siasa, elimu, utalii na huduma za kijamii

Mhe. Rais Samia na mwenyeji wake pia wanatarajiwa kushuhudia utiaji saini mkataba mmoja (]) na hati saba (7) za makubaliano kati ya Tanzania na Misri.

View attachment 2004534

View attachment 2004542
Asije akachukua Sides kwenye Mgogoro wa bwawa la waethiopia......Yule bwana wa Misri hachelewi kumwaga fedha za kusaidia kampeni
 
Hadi sasa Mama Samia a.k.a Chifu Hangaya kashapoteza ushawishi Kanda ya ziwa na Kanda ya kaskazini..

Ila kila la kheri katika kutumbua fedha za walalahoi wa Tanzania..
Kabisa bora tu aende huko nje akazurule na kuombeleza hela..mana hata hotuba zake hazina ushawishi kabisa..nchi sasahivi wahuni wanagawana rasilimali tu..mana kiongozi yupo angani anaomba pesa kwa mabeberu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kila mahali anaenda hamna sehemu ambayo haendi......anafata nyayo za kikwete inabidi tuanze kuhesabu safari zake tujue mpaka sasa amesafiri trip ngapi.....
 
Bwawa la nyerere wana jenga hao wamisri na halijafika hata 45% lazima aka waulize vipi?
 
Kabisa bora tu aende huko nje akazurule na kuombeleza hela..mana hata hotuba zake hazina ushawishi kabisa..nchi sasahivi wahuni wanagawana rasilimali tu..mana kiongozi yupo angani anaomba pesa kwa mabeberu.

#MaendeleoHayanaChama
Ukiambiwa utoe ushahidi utaweza tuwe tuna tumia akili tunapo andika
 
10 October 2021
Bunge
Dodoma, Tanzania

"NI KWELI MRADI WA BWAWA LA NYERERE UNA CHANGAMOTO" - MAKAMBA

Tanzania ina jumla ya vitongoji 64,000 huku Vitongoji 37,000 havina umeme, inahitajika shilingi trilioni 8 kuweza kupatia vitongoji hivyo 37,000 visivyo na umeme. Ni kweli mradi wa umeme JNHPP umechelewa kwa siku 477 na makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotembelea bwawa la Jukius Nyerere kule Rufiji alielezea changamoto zake ...
 
10 November 2021

Breaking News Now
President El-Sisi receives Tanzania's President at Al-Ittihadiya Palace
Source : Presidency of the Arab Republic of Egypt Website

Presidency's website | President Abdel Fattah El-Sisi holds a joint press conference with the President of the Republic of Tanzania



موقع_الرئاسة | الرئيس عبد الفتاح السيسي يعقد مؤتمرًا صحفيًا مشتركًا مع رئيسة جمهورية تنزانيا
 
1636621479406.png

Republic of Tanzania, thanked Egypt and President Abdel Fattah El-Sisi for their generous hospitality and support for her country.

"The Egypt that I visited in the past is not the Egypt that I visit today... I congratulate you on this progress," the Tanzanian president said, during a joint press conference with President El-Sisi, at the Federal Palace.

For his part, President Sisi affirmed Egypt's keenness to support the development needs of Tanzania, especially in the sectors of infrastructure, electricity, health and agriculture, by maximizing the investments of specialized Egyptian companies that have gained extensive experience and expertise in these fields, as well as transferring expertise and building capacities through courses. The grants provided by Egypt to contribute to building the Tanzanian national cadres. Source رئيسة تنزانيا: مصر التي زرتها في الماضي ليست التي أزورها اليوم

Bilateral cooperation between Egypt and

 
Anaenda kuhemea albaki kumalizia bwawa letu Nyerere...
.kwani hamjui Egypt ndio wana fund lile bwawa?? Muda mwalimu mzuri
 
Misri ni taifa la kimkakati kwa Afrika, Arabia, Asia na Ulaya. Ni taifa kongwe ambalo limekuwepo duniani tangu BC (Before Christ) ikiwa na umri wa millennium takriban 4 dhidi ya Tanzania yenye umri wa miaka 56 tu sasa. Misri imetangulia hata Ufalme/Dola la Kirumi kuwepo kwenye uso/ramani ya dunia, hivyo ziara ya Mhe. Rais SSH wa JMT imelenga sehemu sahihi. Kwa umri huo wa Misri, dunia nzima inayo mengi ya kujifunza kwayo.
 
Back
Top Bottom