pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Asije akachukua Sides kwenye Mgogoro wa bwawa la waethiopia......Yule bwana wa Misri hachelewi kumwaga fedha za kusaidia kampeniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi.
Katika ziara hiyo, Mhe. Rais Samia pamoja na mambo mengine anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake katika maeneo kadhaa ya ushirikiano kati ya Tanzania na Misri ikiwemo nyanja za
diplomasia, uchumi, siasa, elimu, utalii na huduma za kijamii
Mhe. Rais Samia na mwenyeji wake pia wanatarajiwa kushuhudia utiaji saini mkataba mmoja (]) na hati saba (7) za makubaliano kati ya Tanzania na Misri.
View attachment 2004534
View attachment 2004542
Umeisahau Kenya kuangalia kama mahindi yetu bado ya sumu kuvu huko!Sawa akitoka huko ,aende USA,JAPAN , S.A, MSUMBIJI ,nk
Muda wake wa urais ukiisha akakae jela huyu mhujumu uchumi.Mama hana huruma huyu. Anaendelea kutumia tu mipesa.
Kabisa bora tu aende huko nje akazurule na kuombeleza hela..mana hata hotuba zake hazina ushawishi kabisa..nchi sasahivi wahuni wanagawana rasilimali tu..mana kiongozi yupo angani anaomba pesa kwa mabeberu.Hadi sasa Mama Samia a.k.a Chifu Hangaya kashapoteza ushawishi Kanda ya ziwa na Kanda ya kaskazini..
Ila kila la kheri katika kutumbua fedha za walalahoi wa Tanzania..
Ukiambiwa utoe ushahidi utaweza tuwe tuna tumia akili tunapo andikaKabisa bora tu aende huko nje akazurule na kuombeleza hela..mana hata hotuba zake hazina ushawishi kabisa..nchi sasahivi wahuni wanagawana rasilimali tu..mana kiongozi yupo angani anaomba pesa kwa mabeberu.
#MaendeleoHayanaChama
Kama huna cha kuandika basi andika usichokuwa nacho!Huna cha kuandika?.