Na usikute yumo kwenye huo msafara!Jk ndio mentor wake, hakuna maajabu hapo
Naamini atakuwepo, maana hata ule wa New York alikuwepo. Alafu wakaficha, Sasa najiuliza wanaficha nini ili iweje? Hawajui kuwa wabongo sio watu wa kumind kihivyooNa usikute yumo kwenye huo msafara!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mama mama huyooo
Mama maamaa huyooo
Wala haitashangaza. Maana alikataa kuuachia uwaziri wa mambo ya nje.Na usikute yumo kwenye huo msafara!
Ichambue safari katika muktadha wa gharama au athari inazoweza kisababisha kiuchumi au kidiplomasia.Hii ni serikali ya kina vasco da gama.
Angalia Makamba alikua anazurula uarabuni eti anapeleka ujumbe maalum wa rais Samia Suluhu...
Anaenda kukutana kigogo aka mlawaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26)
Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia atakutana kuzungumza na baadhi Wakuu wa Nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara wakubwa
View attachment 1990991
Kama jk, membe alisema walikuwa wanapishana angani. Bila shaka mama anaenda kututafutia kibaba.If you smile to the world....the world will smile back to you ...
Hakuna kujifungia fungia kama mchawi