Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26)...
Thank you madam president you really struggle for the best future of Tanzania,go on go on Kujifungia kama mwali hakuwezi kulisaidia taifa letu.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26)

Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia atakutana kuzungumza na baadhi Wakuu wa Nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara wakubwa

View attachment 1990991
Lisu na yeye atahutubia lini? Si nilisikia yupo katika list ya wahutubiaji au ni kelele za misukule yake tu huku mitandaoni?
 
If you smile to the world....the world will smile back to you ...

Hakuna kujifungia fungia kama mchawi
Jpm alipokuwa hasafiri watu humu walikuwa wana panda

Mama anasafiri wanalalamika

Siku zote nasema watanzania mpaka sasa hatujuwi tunataka nini

Wao wanataka Mama aishi kama yuko kisiwani jibondo

Ova
 
Sasa mtu anaiba matrilion hazina hadi rambirambi angesafiri tu. Tatizo lilikuwa kiingereza na exposure. Kutudanganya eti alikuwa anabana ni uwongo tu.

Acha aendelee kuchezea vitasa huko kuzimu!
Kingereza sio issue kwa ulimwengu wa sasa ww blaza unaishi ulaya ipi!!?
ama Ugiriki!?
 
Sasa mtu anaiba matrilion hazina hadi rambirambi si angesafiri tu? Tatizo lilikuwa kiingereza na exposure. Kutudanganya eti alikuwa anabana matumizi ni uwongo tu.

Acha aendelee kuchezea vitasa huko kuzimu!
Kiingereza kinasaidia nini
 
Jpm alipokuwa hasafiri watu humu walikuwa wana panda

Mama anasafiri wanalalamika...
WaTZ tuna Shida sana Mkuu, Mimi nikiwa na dingi ambaye kutwa anashinda ndani hatoki nje kukutana na watabe wenzake wampe deals za hapa na pale aongeze kipato cha familia nitamuona kama jinga flani
 
WaTZ tuna Shida sana Mkuu, Mimi nikiwa na dingi ambaye kutwa anashinda ndani hatoki nje kukutana na watabe wenzake wampe deals za hapa na pale aongeze kipato cha familia nitamuona kama jinga flani
Kabisa,lazima ujichanganye

Ila watanzania hatuaji tumeshika wapi

Wala tunataka nini

Ova
 
Sasa si ndio hapo tunamshangaa mwendazake kwa nini aliogopa kusafiri. Hata hivyo alifanya vizuri angelaibisha taifa. Fikiria angekutana na Boris na kujipendekezapendekeza... you know me and you photocopy together.
Angeweza kuongea kwa kiswahili tu kwani shida ingekuwa wapi
 
Back
Top Bottom