Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Chomelea mbali kodi za wajinga hao.
Yule aliyekuwa hachomi kodi za wajinga hakuwahi kusafiri kabisa (anadai alikuwa anabana matumizi), lakini HAKUTOA AJIRA kwa miaka 5 ya utawala wake wa propaganda (hizo hela alizobana sijui alipeleka wapi)! Huyu anayechoma kodi za wajinga ndani ya miezi 7 ameshagawa ajira zaidi ya 20k, na miradi ya hovyohovyo aliyoachiwa anaimalizia.....
FC3z7vyWUAAWDVY
 
Unajua alivyo kuwa chato mbunge vituko alivyofanya. Kuna wafadhili walitaka Canada akawa yeye ndo mtafsiri wao kwa wananchi. Wale wafadhili walipomaliza kuwahutubia wananchi wakawaaga BYE BYE, Jamaa akarafsir NUNUA NUNUA
Hakutaka kwenda maana hajaona faida yake
Wapiiiii. Unajua alivyo kuwa chato mbunge vituko alivyofanya. Kuna wafadhili walitaka Canada akawa yeye ndo mtafsiri wao kwa wananchi. Wale wafadhili walipomaliza kuwahutubia wananchi wakawaaga BYE BYE, Jamaa akatafsir NUNUA NUNUA
 
Kusafiri kwake au kutokusafiri kwake kuna athari zipi kwa Mtanzania?

Jamani eeh tutafute Uzima wa Milele ,kisha tutafute pesa , tuishi maisha mazuri na watoto wetu.

Mambo ya SSH tumwachie SSH mwenyewe, hata yeye pia anatafuta pesa za kula na watoto wake na wajukuu zake.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 30 Oktoba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi (COP 26).

Pamoja na mambo mengine yatakayojadiliwa katika Mkutano huo wa COP 26, Mhe. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo tarehe 02 Novemba, 2021.

Aidha, Mhe. Rais Samia anatarajiwa pia kukutana na kuzungumza na baadhi Wakuu wa nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara wakubwa kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na uhusiano baina ya Tanzania na nchi hizo pamoja na Taasisi zao.

Lengo la Mkutano huo wa COP 26 ni kujadili jitihada za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa ill kupunguza joto duniani.
Screenshot_20211029-180238_Facebook.jpg
 
Ichambue safari katika muktadha wa gharama au athari inazoweza kisababisha kiuchumi au kidiplomasia.
Nchi yetu bado sana kupata dipromasia ya uchumi kwa kwa viongozi wetu na hizo ziara.

Kuna akina obama walikuja hapa na yule wa china watu tukashangilia laiki hali ni ngumu mtaani mpaka sasa

Viongozi wetu wamekua wakienda huko kila mara na kukutana na wakubwa hao lakini watanzania hali zao zinazidi kuzorota,.

Tunasifia viongozi kukutana na wakubwa hao lakini hakuna matokeo chanya kwa watanzania, kila kitu tunacho na umasikini bado ni wetu huku vi nchi vidogo vinatuzidi wakati havina chochote.

Ni bola hizo pesa za safari kila mwaka wangeweza kuwapa watz kadhaa na kutengeneza matajili ambao watalipa kodi na nchi ikawa na watu wengi wenye uchumi.

Tunatengenea wapambe wengi wenye kutoa sifa baada ya kupewa vi mkate na bia bila kutumia akiri zao kujua wanaopewa sifa wanatuumiza.

Walio soma na wasio soma wote shida tupu.
 
Mama Tanzania sio kisiwa tembea Mama utufungulie milango huko duniani, Dunia haiihitaji Tanzania ila Tanzania inaihitaji dunia ili isonge mbele.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26)

Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia atakutana kuzungumza na baadhi Wakuu wa Nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara wakubwa

View attachment 1990991
Huku ndiko ni kuufungua uchumi kwenyewe.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26)

Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia atakutana kuzungumza na baadhi Wakuu wa Nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara wakubwa

View attachment 1990991

D7E7DE0D-8077-4C1F-B65D-719ED88C1C11.jpeg
 
Yule aliyekuwa hachomi kodi za wajinga hakuwahi kusafiri kabisa (anadai alikuwa anabana matumizi), lakini HAKUTOA AJIRA kwa miaka 5 ya utawala wake wa propaganda (hizo hela alizobana sijui alipeleka wapi)! Huyu anayechoma kodi za wajinga ndani ya miezi 7 ameshagawa ajira zaidi ya 20k, na miradi ya hovyohovyo aliyoachiwa anaimalizia.....
FC3z7vyWUAAWDVY
Mama kakuta keshatengenezewa mazingira,acha asafiri mimi kwanza haniathiri chochote huyo bibi😂😂😂
 
Back
Top Bottom