kwani umepigwa kwenzi mbona unaweweseka gentleman? relax bana
Acheni uhuni.mgombea urais wa ccm alieidhinishwa na CCM ni dr.samia suluhu hassan na Dr.Hussein mwinyi,
hakuna muujiza wala ushirikina mwingine gentleman
Wewe ni mnafiki tuwaTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.
Utekaji na mauaji ndio tunu yetu....waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.
Utekaji na mauajiwaTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.
Uchawa unalipa ila kuna stage inabidi uone aibu.amani inayokufanya uchati JF kwa uhuru licha ya kua na chuki binafsi
ANANUKA ANANUKA ANANUKAwaTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.
achana na porojo na strory za drama kipotoshaji hivyo gentleman,Ndiyo maana Tlaatlah, mara nyingi anaonekana ni mtu ambaye amepungukiwa akili.
Hivi kuteka na kuua ndiyo tunu ya amani? Kudhulumu haki za wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka ndiyo tunu ya amani?
Leo nimethibitisha pasipo shaka, Tlaatla ni mgonjwa wa akili, maana hata uchawa siyo wa kiwango hicho!!
Utawala wa Nyerere, Mwinyi, hatukusikia mambo ya utekaji wala mauaji ya wakosoaji. Hao ndio wangeweza kutajwa wazingatiaji wa tunu ya amani na umoja wa Taifa.
Huyu anateka watu, anaua, anawatesa watu, anawabambikia watu kesi za uwongo, anagawa rasilimali za nchi kwa Waarabu, halafu eti ni tunu ya amani ya Taifa!! Labda useme ni tunu ya uwendawazimu wako.
Awamu hii, wanaoweza kupewa pongezi ni Watanzania kwa uvumilivu uliopitiliza. Lakini haya yaliyofanyika, ingekuwa ni nchi ya watu wasio na uvumilivu wa kupitiliza, tayari tungekuwa kwenye machafuko. Maana aliyoyafanya huyu mtu yalitosha kabisa kuamsha hasira za wananchi.
Matapishi matupu.waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.