Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
ukijiua kwasababu ya wivu wa mapenzi, ukiji R.I.P kwasababu ya msongo wa mawazo na ugumu wa maisha kwa uvivu wako, ukiuawa kwenye fumanizi kwa tamaa zako za kumendea wake za watu, ukimalizwa kwenye ujambazi na uporaji wa mali za watu huna haja ya kusingizia drama au porojo za utekaji gentleman, that's useless and completely nonsense.Kumbuka analo jukumu la kuwalinda Raia wa Tanzania, ebu muulize huyo Tunu wako wa Amani kwamba Deus Soka, Mdude Nyagali na wengine waliotekwa, waliopotea wako wapi?
CCM inaharibiwa na wajinga wengi wanaotanguliza uchawa ktk mambo ya msingi.
Mimi ni CCM lakini nachukia sana uchawa wa kipumbavu kama huu!
Tuelezane ukweli katika mambo ya msingi.
Rais Samia alianza vizuri sana lakini hapa katikati na hasa alipowarudisha watu kama akina Makonda kwenye system amevuruga big time!
Rais Samia heshima aliyokuwa nayo ndani na nje ya nchi imepotea kabisa!
Watu waovu wamemuharibia sana!
Tunu ya amani na umoja anayoilinda Dr.Samia Suluhu Hassan, imewafanya waTanzania kuipenda nchi yao na kufanya kazi zao za kijamii, kisiasa na kijamii kwa weledi, bidii na furaha zaidi.
washirikina na wapiga ramli wenye chuki binafsi hawawezi kuona mambo mazuri kama hayo gentleman