Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

Toa form za urais kwa CCM wewe acheni uhuni mnamkwaza sana Polepole.
mgombea urais wa ccm alieidhinishwa na CCM ni dr.samia suluhu hassan na Dr.Hussein mwinyi,

hakuna muujiza wala ushirikina mwingine gentleman
 
Kuna muda hata yeye inawezekana akiwa peke yake huwa anatucheka sana, taifa la watu zaidi ya 60 milioni lakini anavyotuswaga hata kondoo wana nafuu.
 
Wewe ni mnafiki tu
...
Haiwezekani uwe mtu anayezingatia ukweli halafu uwe na typing errors nyingi...
Kama vile mlevi ambaye hajiwezi kabisa
 
Bado hauziki! Pamoja na mabango nchi nzima,magari,bodaboda,baiskeli,majiko,vitenge,kofia,nk kuwa na majina yake.
Ndiyo maana nguvu kubwa inatumika kumnadi.
 
Utekaji na mauaji ndio tunu yetu....
Utekaji na mauaji
 
ANANUKA ANANUKA ANANUKA


View: https://youtu.be/3rmxx-R44Gk?si=v0bwRZ9XNLZsW9L2
 
Ndiyo maana Tlaatlah, mara nyingi anaonekana ni mtu ambaye amepungukiwa akili.
Hivi kuteka na kuua ndiyo tunu ya amani? Kudhulumu haki za wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka ndiyo tunu ya amani?

Leo nimethibitisha pasipo shaka, Tlaatla ni mgonjwa wa akili, maana hata uchawa siyo wa kiwango hicho!!

Utawala wa Nyerere, Mwinyi, hatukusikia mambo ya utekaji wala mauaji ya wakosoaji. Hao ndio wangeweza kutajwa wazingatiaji wa tunu ya amani na umoja wa Taifa.

Huyu anateka watu, anaua, anawatesa watu, anawabambikia watu kesi za uwongo, anagawa rasilimali za nchi kwa Waarabu, halafu eti ni tunu ya amani ya Taifa!! Labda useme ni tunu ya uwendawazimu wako.

Awamu hii, wanaoweza kupewa pongezi ni Watanzania kwa uvumilivu uliopitiliza. Lakini haya yaliyofanyika, ingekuwa ni nchi ya watu wasio na uvumilivu wa kupitiliza, tayari tungekuwa kwenye machafuko. Maana aliyoyafanya huyu mtu yalitosha kabisa kuamsha hasira za wananchi.
 
achana na porojo na strory za drama kipotoshaji hivyo gentleman,

huna haja ya kuweweseka,
waTanzania wanainjoy tunu ya umoja na amani inayolindwa na kutunza na mama huyu Dr.Samia Suluhu Hasan kipenzi cha waTanzania wote.
 
Kumbuka analo jukumu la kuwalinda Raia wa Tanzania, ebu muulize huyo Tunu wako wa Amani kwamba Deus Soka, Mdude Nyagali na wengine waliotekwa, waliopotea wako wapi?
CCM inaharibiwa na wajinga wengi wanaotanguliza uchawa ktk mambo ya msingi.
Mimi ni CCM lakini nachukia sana uchawa wa kipumbavu kama huu!
Tuelezane ukweli katika mambo ya msingi.
Rais Samia alianza vizuri sana lakini hapa katikati na hasa alipowarudisha watu kama akina Makonda kwenye system amevuruga big time!

Rais Samia heshima aliyokuwa nayo ndani na nje ya nchi imepotea kabisa!
Watu waovu wamemuharibia sana!
 
Matapishi matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…